Kama wewe ungefanyaje?

Kama wewe ungefanyaje?

jezifar

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
27
Reaction score
8
Nilikutana na msichana mmoja wa kiarabu hivi kutoka Tunisia akasema anaishi dubai kwenye mtandao na mimi siishi bongo.

Naishi bara la Asia. Tukawa tunachati sana na na ikaonesha kama yupo interested na mimi na mimi nikawa interested sababu kiukweli alikuwa mzuri.

Sasa mda wa kuchati akawa ananiuliza nataka kuona nini toka kwake nikasema maziwa akanionesha yalikuwa saa sita mazuri kinoma baada ya hapo akanionesha papuchi na vitu kibao sasa na yeye akanomba aone uume wangu nikamuonesha kumbe mwenzangu alikuwa ananirekodi.

Sasa from no where akanitumia video yangu nikiwa uchi naonesha uume na link amepost you tube hiyo video.

Akasema nikitaka aifute natakiwa nimpe $2000.

Je wewe ungefanyaje maana huu mtihani nilioupata nadhani ndo utakao kuwa the biggest in my life.
 
mtumie hiyo dola elfu 2 kwa westen union kesho asubuhi.
 
Haha...ulikuw unachat n porn models mkuu.

Dont trust her unahakika hata ukimpa ataitoa!? Kwan chanel yake ya youtube ina viewers wengi kiasi cha kukuuzisha sura? Jifanye you dont care na potezea tu
 
Tyta embu njoo hapa ufanye ule ufundi wako kabla hatuja msaidia huyu kijana kilaza
 
Last edited by a moderator:
pole mkuuuu kwa hiloo na wengne watakuwa wamejifunza kama mm bt kwann na ww usijifanye hukuwa ww na ujifanye hujaliiiii kabisaaaaaaa
 
acha arushe kwani akirusha inang'oka hapo kwako ww mpe live mwambie humpi ata mia na akitaka arushe mwisho wa cku atajiona mjinga mwenyewe ataona kumbe hujali wala hatarusha
 
utatuma pesa na video bado itauza sura hapo haifutwi wala nini duuu pole sana
 
Unajua aliingia kwenye facebook na kutafuta watu wote wenye ubini kama wangu aakanitumia na kuniambia anawatumia hii video hao wote pamoja na friends wangu wengine kwenye facebook. Ndugu zangj mimi sio kilaza na nimjanja sana kimaisha ila hii nikiboko imenipafundisho kubwa sana la hizi social media. Kuweni makini...
 
Hii kama sio chai basi..

Kuna binadamu.mnajua kujilipua.....

Unavua tu ngi.kumuonyesha mtu kifanyio chako????

Kubali yaishe tu.....aiposti tu.maana una uhakika gani ukimtumia $2000 ataifuta? Na haitokua series za blackmail? ?
 
mkuu kama dushe lako ni la ukweli na si kibamia wala usijali kwani itakuwa bonge la tangazo....ila kama ni kibamia mmmh!reputation yako kwishneyy
 
Unajua aliingia kwenye facebook na kutafuta watu wote wenye ubini kama wangu aakanitumia na kuniambia anawatumia hii video hao wote pamoja na friends wangu wengine kwenye facebook. Ndugu zangj mimi sio kilaza na nimjanja sana kimaisha ila hii nikiboko imenipafundisho kubwa sana la hizi social media. Kuweni makini...

unaweza kujieleza bila kunitaja
 
by jezifar;
Unajua aliingia kwenye facebook na kutafuta watu wote wenye ubini kama wangu aakanitumia na kuniambia anawatumia hii video hao wote pamoja na friends wangu wengine kwenye facebook. Ndugu zangj mimi sio kilaza na nimjanja sana kimaisha ila hii nikiboko imenipafundisho kubwa sana la hizi social media. Kuweni makini...

Mkuu jezifar ulipiga picha dushe.. tuu au sura yako yote?
Kama umepiga dushe..tu mpotezee kwani hao marafiki na ndugu zako wa fb wanajua dushelele lako? hata akiwatumia unawaambia sio wewe!

Ila kama ulipiga picha mwili woteee kuwa mpole kama umepata Div5..
 
Last edited by a moderator:
Hadithi toka kwenye kitabu kipindi kile nina demu wakiarabu, tunavuta ganja mpaka hijabu inanukia habu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom