Kama wewe Ni Mwanamke....mara ngapi...na kama wewe ni mwanaume, mara ngapi.....????

Kama wewe Ni Mwanamke....mara ngapi...na kama wewe ni mwanaume, mara ngapi.....????

Kweli aisee, me mwenyewe 3yrs amewahi kunambia mara 2 tu, hawa viumbe cjui hawaelewagi kuwa lile tunda linapashwa kuliwa kwa idhini yao. Wkt mwingine tunaweza kulila kumbe halijasafishwa na tunda lolote lazima lisafishwe. Kazi ipo.
 
Ninacho kipimo cha kujua kama uko ok or not ok.
Ntakupa msaada wa kukupima bure.

i hope it does'nt involve stripping, labda am too picky.
Mtoa mada hajawasoma wanawake tu, its not easy kusema mara nyingi ni vitendo am sure its more romantic kama akija akakukumbatia na kukubusu and so on kuliko akisema "Nataka ku**wa"
 
Mke wako kama anakupenda ataanzisha tu mchezo, nausifikirie wanawake wote wanaogopa kuanzisha mchezo...wanao ogopa ni wale wanatabia za kuwa na more than 1 boy friend toka utotoni kwao...kama mwanamke anajiamini ni mme wake tu ndo aliye kuwa wa kwanza kumgusa, hamuogopi mme wake hata siku moja :cool2:
 
Wengne ha2jaoa, xo mara zote nikitaka 2 hav sex wt ma partner me ndo namzingua hadi 2nafanya. Bt haijawahi kutokea akaniambia or akanipgia cm n tel mi kua she want t
 
wengine vichwa vyetu fyetu "baba hebu kuja/geuka pande hii, nataka hiyo kitu tamu"
simple hakuna longolongo, mwisho wa siku si wa kwako jamani.
 
Losambo umedadavua , Ki ukweli Wanaume wengi Lugha ya vitendo au hawaijui au wanajifanya hawaijui kwa sababu zao

Ni vyema wakaitambua maana inatumika sana na wake zao
 
Kwani kwenye ndoa mpaka mke wako akuambie au hata akijipara akavaa kanga laini na kukitikisia masaburi si kama ameshakwambia?
Tatizo wanaume wengi tunapenda vitu straight sana lakini wanawake hawapo hivyo kama ambavyo majibu yao wakitongozwa siyo straight.

Jifunze lugha ya ishara toka kwa mwenzi wako inawezekana ameshasema mara nyingi kuliko unavyofikiri au unavyotaka.

Hili kweli la msingi sana.
 
SI ile thread inahusu sana.
Mtu anatakiwa abadilike badilike kama tunavyobadili mboga. Leo anaonesha kwa vitendo kwanzia sebuleni, kesho anasema waziwazi, mtondogoo anaonyesha wakiwa ndani kabisa, siku inayofuata anasema tangu mwenzie akiwa kazini n.k

Sio kile siku formula ile ile, matokeo yake mzee akifunuliwa upaja tu huko kwenye vikao vya biya au ofisini anachanganyikiwa utadhani mke/mwenzi wake hana upaja.


Haya, haya mengine mapya saa!! me naendelea kujifunza na kuelewa. Lizy nipe lingine!!
 
So you really wanna have a lot of sex?.......Tengeneza mazingira ambayo yatamweka mammy kwenye good mood...nakuhakikishia utakuwa unakula tunda kila siku. Wanawake ni watu wa kudeka so mdekeze wako, be a good listener, mfanyie suprises na vijizawadi once in a while, siyo lazima umpe vitu vikubwa vikubwa...just be creative kumwonyesha kwamba unamjali. Kama umepata tunda jana yake mtumie text ukiwa kazini...mwambie how wonderful she was the previous night, na you cant wait to get it going again...make her feel special.

Good class, I really appreciate it.
 
hii kweli kabisa wanakuwa wazito wa kuanzisha na vile vile mwanaume unaweza kuanzisha na ukaambiwa nimechoka so hii huchangia wanaume wengi kutoka nje ndoa,wanawake sijui wana matatizo gani? lakini akiwa na lijamaa la nje yeye ndio anakuwa analazimisha kumegwa
 
Actually uwezo na ujasiri wa mwanamke kuanzisha mechi kunategemeana hasa na mazingira ambayo huyo msichana amekulia pamoja na tabia yake ingawa pia kutomridhisha kingono kunaweza kusababisha yeye kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi. Ila kama umejaribu kukaa naye chini mara kadhaa na kuongea kuhusu hili swala ili muweze kuweka mambo sawa na bado akakiri kuwa unamridhisha sidhani kama atakuwa anakudanganya. Nadhani hiyo ni tabia yake halisi.
 
Mama yangu wee, basi mie nina matatizo jamani nahitaji msaada, maana huwa sichekei mtu ninapotaka haki yangu, simsubiri aseme mie najisexisha mpaka anaingia line, mara nyingi wanawake tunatumia implied condtn kwa hili, unaonyesha vidalili fulani mwanaume mjanja anajua, sasa sio lazima nikwambie, mume wangu njoo tunaniliu, nahisi na wewe labda una tatizo la kusoma wanawake, lazima atakuwa ana vidalili fulani anaonyesha wewe hujui tu, zaidi ya hapo labda kweli humpi raha
 
nadhani wanaume tumekariri mpaka waseme kwa maneno. A woman has thousands ways of telling it. If you cant read her im afraid there is something you are missing!

Ur vr correct , tena ni rahisi sana na mm huwa sifanyi ajizi, kuna namna akiongea (tonation) tu mm huwa navuta na kurekebisha na utasikia "asante hny". Hata ukiwa kwenye puplic transport kuna namna mdada/ akikwangalia kama unajua na ukaongea naye unaweza ukala mzigo pindi atakaposhuka kituoni.
 
It suffices to say, the best sexual moment is when a women is ready for it. when she initiates ma but she go kill somebody ooo
 
Akiwa hataki si anasemaa tu ukiona kimya jua kakubaliii
 
:lock1: ni mara ngapi mkeo/mpenzio ameanzisha sex?
:bump2::bump2::cool2:
Mi nikifika tu home nikakuta chakula nikipendacho kimepikwa, mama kaoga mapema mara kidogo tu jamani huuwewee....mara pole na kazi mara umechoka sana mume wangu? huwa sijiulizi namtuliza na cha fasta kwanza ndo ratiba za kula na kuangalia tv ziendele mwisho tuna-resume quatelaten au fosdi fra pee!
 
Ur vr correct , tena ni rahisi sana na mm huwa sifanyi ajizi, kuna namna akiongea (tonation) tu mm huwa navuta na kurekebisha na utasikia "asante hny". Hata ukiwa kwenye puplic transport kuna namna mdada/ akikwangalia kama unajua na ukaongea naye unaweza ukala mzigo pindi atakaposhuka kituoni.
Utasikia yaani huwewe....huchelewi....................Asaaaanteee huko!
 
Back
Top Bottom