Kama wewe ni graduate soma hii

Mimi niko tayari kazi ngumu jamani atleast una idea nzuri
 
mambo ya afya kivip mkuu? NGO ina address nini hasa? maana mambo ya afya ni mengi, ungejarbu kuwa specific ili na sisi tuone kama tunafit,

nawasilisha
 
Hata mimi niko tayari,,ila we need maelezo kidogo mkuu,na tunafanyajefanyaje
 
graduate tumekuwa wengi... Mungu atusaidie jaman, lets create our own business
 
ungetoa ufafanuzi zaidi NGO imejikita kwenye afya kivip kutoa ushaur wa afya, afya ya mazingira au? na ungeweka na mawasiliano
 
mambo ya afya kivip mkuu? NGO ina address nini hasa? maana mambo ya afya ni mengi, ungejarbu kuwa specific ili na sisi tuone kama tunafit,

nawasilisha

inahusu primary health,public health occupation health na enviroment health
 
ntaweka katiba na kadi ya usajili mda sio mrefu.tukifika kama watu kumi hivi
 
inahusu primary health,public health occupation health na enviroment health

Aisee. Hii idea nilikuwa nayo but sikujua pa kuanzia. Ni field yangu hiyo. Ntaku-pm ili tuone tunafanyaje. HONGERA SANA MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…