Kama wewe Huli Nguruwe, USA Usiende

Kama wewe Huli Nguruwe, USA Usiende

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,986
Reaction score
9,212
watu hawataki kabisa kurudi makwao wakafuturu ila wanataka wakae USA tu waenjoy kisha Waandamane

Sasa MWA-TRUMP kasema NO, utarudi kwenu, Wanalia hao

Bye Bye, Uturuki inakuhitaji zaidi ila analilia USA,

Kaandamanie Uturuki,

ISRAELI IMEBARIKIWA, huwezi KUPAMBANA NA CCM ukashinda

Screenshot_20250328-202935.png
 
Kafiri anakutengenezea macho matatu,tv,internet,magari ya kisasa na kila kitu kizuri baadae unashupaza shingo kumsema kwa msaada wa visima na misikiti
Hadi leo Hujui kama macho matatu imetengenezwa na mhamiaji kutoka syria
Marekani kama marekani ni nchi ya wahamiaji kama ulikuwa hujui na ndio policy yao hadi leo, ndio maana wana green card na visa nyingi jwa ajili ya kuingiza watu kuyoka mataifa mengine kwa mipango yaobya muda mrefu hakuna wa kubafilisha hilo
Unajua kama biden kwao ni ireland? Musk kwa southafrica leo ndio anaiebdesha marekani
 
huhuhu
 
Arudishwe Gaza akaandamane vizuri. Wanaichukia Marekani lakini bado wanang’ang’ania kuishi
 
Back
Top Bottom