sauti ya Inzi
Member
- Feb 27, 2014
- 8
- 1
Natafuta msichana mrembo aliye tayari kuingia kwenye maisha ya ndoa hivi karibuni..ni pm
kwani nyie mnapendaga ukweli?Mnaingia na gia ya kuwaoaa hahahhha
kwani nyie mnapendaga ukweli?
Acha kuyumbisha maana yangu ya mwanzo, nimekuuliza "nyie mnapenda kuambiwa ukweli?"Unatusemeaa tunapenda sanaaa!!!!we hujawah kupendwaaa