kama we genious jibu hii pia....

Mia yako halafu aunauliza iko wapi?
 
Ulipouziwa nguo kwa kupunguziwa kuwa 9,700/-,
Ni sawa na kusema; Dada Alichangia 4,850/- na Kaka 4,850/- (ambapo jumla yake ndio hiyo 9,700/-) katika manunuzi ya nguo hiyo.
Ikabaki 300/-, yaani 150 kutoka kwa kila mmoja wapo waliokuchangia, Ambapo ndio jumla ya 300 (Uliyoishika mkononi)
Ukaamua kupunguza deni kwa kila mmoja kupata 100/-.. Ikawa sasa, Kila mmoja amepata 4,850/- + 100/- = 4,950/-.
Kwa wawili wote ni kusema;
4,950/- + 4,950/- = 9,900/-.
Mia moja (100/-) ndio hiyo iliyobaki mkononi mwa mkopaji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…