Kama Watanganyika hata Wazenj wangeulizwa bila mizengwe kuhusu muungano, unadhani nini ingekuwa uamuzi wao?

Kama Watanganyika hata Wazenj wangeulizwa bila mizengwe kuhusu muungano, unadhani nini ingekuwa uamuzi wao?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,425
1772220059876.png

Kwa sasa, sina shaka muungano wetu ulioanzishwa na wakoloni hauna maana yoyote. Umegeuka mzigo na ukoloni kwa Tanganyika iliyouawa na ubinafsi na udkteta wa Nyerere na woga wa Karume asipinduliwe na waarabu.

Hayo sasa yalishapita. Inakuwaje tunang'ang'ania kitu cha hasara hasa kwa Tanganyika inayotawaliwa na kunyonywa na Zanzibar na Pemba visiwa vidogo visivyo na lolote na vidogo kuliko hata wilaya zetu ndogo?
Tufikie mahali tuamue kusuka au kunyoa lakini si kukata kichwa au kujitoa ufahamu.

Tusingekuwa na hili limuungano wala tusingekuwa tunateswa na huyu Ida Amina Maza. Je, wewe una ushauri au maoni gani?
 
Back
Top Bottom