kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,610
- 23,067
Kutoka na hali inavyoendelea na rais anaonekana kutoka kwenye mstari na kutetea mambo kinyume cha sheria na utawala bora,
Ni dalili ya dhahiri rais wetu amechoka kimwili mpaka kiakili ni kipindi kama hiki mtangulizi wake alisema anajuta kwa nini aligombea urais sasa yeye anaonekana amechoka mwili mpaka akili ndani ya mwaka na nusu mawazir na makatibu wameshabadilishwa kama nguo hiyo ni dalili tosha kuonyesha amechoka,
Kipimo cha mtu aliechoka na jambo ni hasira hivyo mzee lowassa jiandae baba kuchukua nchi time yeyote mkulu atanyoosha mikono kama hatovumilia kwa miaka 5.
Hakulazimishwa kuchukua fomu alikwenda peke yake dodoma
Lowassa chukua nchi tule nema