Kama wanaume tungeacha ulevi na uzinzi!!!!Starehe.

jamalom

Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Kama wanaume tungeacha ulevi na uzinzi, Maana yake starehe upande wa maisha yetu yangekuwa bora zaidi sana. Kila mwanaume angekuwa na uwezo wa kuhendesha familia yake vizuri! Kwa mfano wale ambao wanapata pesa kwa njia ya ushirikina huwa wanapewa masharti magumu kama vile Wasinywe pombe, Awe na mke mmoja tu yaani asifanye uzinzi, Na mganga anamwambia ukinywa tu pombe au ukifanya uzinzi unafilisika. Jamaa akitoka kwa mganga anajibana kweli, anajizuia kunywa pombe na uzinzi anaacha baada ya muda jamaa anatajirika, kumbe mganga anacheza na kubana matuzi kwa kuweka sheria. JE KAMA TUKIACHA STAREHE TUTAFIKA WAPI WANAUME?Si tutatajirika wote. Maoni kwenu wadau.
 
^^
Kuna wanaume wakunywa pombe kuliko maelezo na familia ziko vizuri tu!
One thing to note Mtihani mgumu sana ni kutumia starehe vizuri.

Bado hujanidanganya
Hebu nenda makambako ukawakute hao matajiri wa hela za MALI NGUMU uone wanavyotapanya kama hawana akili nzuri
Starehe ndo mpango mzima asikwambie mtu
 
Mtazamo potofu walio nao wengi kwamba ulevi na uzinzi ndio starehe ni shida hasa. Starehe kubwa pasipo hayo mambo yawezekana sana.
 
^^
Kuna wanaume wakunywa pombe kuliko maelezo na familia ziko vizuri tu!
One thing to note Mtihani mgumu sana ni kutumia starehe vizuri.
^^

umemaliza majibu yote. Kinachokatazwa ni ulevi wala sio kunywa pombe na ulevi ni mpana sana kimaana.
 
wachagga walio wengi ndiyo wenye pesa....Nafikiri utakuwa umenielewa..

Hiyo yako siyo sababu..
 
Maisha hayana fomula kuna watu hawanywi wala hawaparui lakini ni maskini kupita maelezo na wapo watu wanakunywa daily na wanaparua bado wanapeta maisha bora kwa kila mtanzania hebu mtoa mada dadavua hiyo hoja yangu
 
Ss kama huna starehe huwazi konyagi utachacharika vp kupata chapaaa ukipata ten unaridhika maana inatosha msosi home ziada ya biere hakuna!!!

Vp hapo bado umelala!!
 
Back
Top Bottom