Kama wana Arusha watamchagua Lema kuwa mbunge nitawaradharau

Nazungumzia arusha na si kenya. Arusha ilitangazwa baada huyu boss wako kuibuka na mikakati ya fujo kila siku badala ya kutatua kero za wananchi, safar hii mtaendelea kuisoma namba

Mbona wanaoisoma namba ni nyie ccm wenyewe?
 
ni mbunge wa kuzisha vurugu kila kukicha leo tena wamchague lema itadhihirisha arusha ni watu wajinga sana.
sishabikii kuwa wamchague fulani laah lakini si lema

wapiga kura wengi Hawamo humu jf kwa hiyo unapoteza Muda wako kufanya kampeni humu
 
Mbeya mjini wataendelea kuisoma namba maana nao naona huwa wanashabikia ujinga, Nyamagana wenzao waliamka wakapiga mtu chini. Endapo Arusha watamchagua tena Lema nitawaona wendawazimu wa kutupwa, jamaa haleti maendeleo zaidi ya kushawishi fujo. Alafu ni mmmoja wq machizi yaliyokuwa yanampinga Magufuli, sasa ona kasi ya Magufuli, ATAWEZA KWELI LEMA KUMSAIDIA MAGUFULI KURUDISHA HESHIMA YA ARUSHA YA MJI WA KITALII?? SIDHANI, Lema hafai.

Ni Lema tena 2015 hutaki unaacha
 
Maendeleo yanaletwa na serikali iliyoko madarakani
 
ni mbunge wa kuzisha vurugu kila kukicha leo tena wamchague lema itadhihirisha arusha ni watu wajinga sana.
sishabikii kuwa wamchague fulani laah lakini si lema

mjinga ni wewe mbumbumbu wa wanaume na si wana arusha kwa wajanja,vurugu ni mojawapo ya vionjo vya siasa jinga wewe
 
Lema hafai. Achaguliwe yeyote, hata jiwe lakini sio Lema.

Kwa chama gani? maana chama bora ni Chadema na watu wanachagua chama na Chadema imemuamini na kumuweka Lema hapo njonzi zako zina mashiko gani?
 
Watu mnashindwa kufikirisha akili zenu tangu aondoke mkuu wa mkoa yule mkorofi umewahi sikia vurugu Arusha?
 
Watu wa Rukwa na dodoma hakuchagua upinzani mbona maisha yao ni shida kuliko Arusha
 
Eti utatudharau??? Hiyo dharau yako ina impact gani kwa sisi watu wa chugga??
 
ni mbunge wa kuzisha vurugu kila kukicha leo tena wamchague lema itadhihirisha arusha ni watu wajinga sana.
sishabikii kuwa wamchague fulani laah lakini si lema
Eti ukienda nyumbani kwa mtoa post watoto wanakuambia,baba yuko kazini!baba wenyewr ndiye huyu?mtumeeee!!
 
ni mbunge wa kuzisha vurugu kila kukicha leo tena wamchague lema itadhihirisha arusha ni watu wajinga sana.
sishabikii kuwa wamchague fulani laah lakini si lema

Mbunge wako walikuchagulia?

Wajua sababu ya hizo Fujo na Matusi?
Kuna mtu yeyote ataenda asimame na kuanza kutukana tuu bila sababu?
 
aliekuwa analeta vurugu Arusha ameziamishia mwanza lema tena na tutamchagua kwa kishindo lema na tutapata na kiti maalum cha ubunge kwa kura za lema wewe endeleeni kujiongopea monabana ata robo ya kura atapata
 
Back
Top Bottom