The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,967
- 13,437
Kwahiyo mama anajiandikia rekodi yake?Polepole hawezi kuwa hai
Hawa wote uliorodhesha hakuna aliyeuawa na vyombo vya usalama. Ni mythy za vijiweni tu.Japo wote ni chama kimoja, kinachoendelea kinaonyesha kuwa macc siyo binadamu hasa yanapoingiliwmaslahi yao au kufichuliwa uovu wao.
Kama kweli kilichotokea kwa Humphrey Polepole kilimhusisha, uwezekano wa kuwa marehemu ni mkubwa. Tujikumbushe walivyommaliza:
Edward Sokoine,
Horace Kolimba,
Imran Kombe,
Dkt. Omari Ali Juma,
na wengine wengi.
Je, Tesha ameipata hii? Kama ameipata, waliomtuma wanangoja yafike haya.
Kweli mtandao ni hatari.
Hawa wote uliorodhesha hakuna aliyeuawa na vyombo vya usalama. Ni mythy za vijiweni tu.
Mbona hii orodha ni ndogo sana. Kipindi kile Gwajima akisema ana orodha ya watu zaidi ya 80+!!!Kwahiyo mama anajiandikia rekodi yake?
1. Mdude
2. KIBAO
3. Chaula
4. Polepole
Hawa ni wale tunaowajua.
Bado yule dogo chizi aliyechoma pichaKwahiyo mama anajiandikia rekodi yake?
1. Mdude
2. KIBAO
3. Chaula
4. Polepole
Hawa ni wale tunaowajua.
Sijui kama wana thinking capacity unayoongeleaHawawezi kumuua labda wawe hamnazo ktk thinking capacity yao. Watampa kashikashi tu na kumtupa mabwe pande. Ndio zao hizo…
Hao ndiyo macc. Wanaanza kuuana na kuumbuana. Ndo mwanzo wa mwisho ila kwa watanzania, I doubtNakumbuka wakati wa majaribu mazito mazito na saa za mwisho za kukamatwa kwa Bwana Yesu, alitoka kuomba kurudi alikowaacha wanafunzi wake akakuta wamelala. Akawaambia huu si muda wa kulala tena, muda umekwisha simameni muendelee kumwomba Mungu wenu maana saa zi karibu sana.
Na haikuchukua mda, jambo likatimia. Ndugu zangu hii tayari ishakuwa halamu. Ama tulale tuishe ama tusimame tujipiganie ...lah, giza laja