rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,211
- 20,199
Kuna kipindi Senzo akiwa mtendaji mkuu wa yanga alikwenda kuipokea timu kutoka south Africa ilikuja kucheza na Simba kwenye mashindano ya klabu ya klabu bingwa Afrika.
Kitendo cha Senzo kukutana na timu ya south Africa kabla ya mechi ya Simba kilichukuliwa kwa hisia tofauti, wakati washabiki wa Simba wakiona Kama hujuma wa yanga walitetea na kusema alikuwa akionana nao Kama mtu aliyekutana na ndugu zake waliotoka sehemu moja.
Kocha wa timu ya Taifa ambaye anatokea Algeria alienda kuipokea timu ya nchi yake inayotokea kwao iliyokuja kupambana na yanga na baadae kukutana nao hotelini.
Kitendo hicho kimemuibua Haji Manara na kutaka kocha huyo afukuzwe kwa sababu alivyofanya ni kuihujumu timu ya yanga ambayo ni ya Tanzania .
Kama wakati ule waliona Senzo alikuwa sahihi sioni sababu ya Manara kuanza kutoa mapovu ya kutaka kocha afukuzwe.