kama vip!

kama vip!

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
dah,kama vp tuwaenzi wale maticha wanokoooo,kwenye level zote angalao kwa kuwataja majina tu
Ndetiyo'mazengo primary
'huyu alikuwa akikuta sehemu yoyote lazima akuangushie stiki za hatari'
Magadula'lake sec'huyu naye alikuwa balaaa,lazima akufanyie tu
Mugarula'mazengo tech'mnoko huyu akikomalia ishu lazima utimuliwe shule tu
Sembuche'SUA'full majigambo ya kukamata watu kwenye maths
......................
.........................
 
Mkoma SUA, nae alikuwa msumbufu na somo la general chemistry!
 
TIJO-Makumira sec alikuwa na balaa kichizi akiwa zamu
Damme - Makumira sec piga sana madenti ngumi za mgongo jamaa alikuwa anapenda ubabe kinoma
Pre (elisante)-Makumira anakuuliza swali ukimjibu anakupiga,ukikaa kimya anakupiga sijui alikuwa anataka nini
 
tehe tehe teheee,huyo alikuwa hataki kukuona classs
 
dah,kama vp tuwaenzi wale maticha wanokoooo,kwenye level zote angalao kwa kuwataja majina tu
Ndetiyo'mazengo primary
'huyu alikuwa akikuta sehemu yoyote lazima akuangushie stiki za hatari'
Magadula'lake sec'huyu naye alikuwa balaaa,lazima akufanyie tu
Mugarula'mazengo tech'mnoko huyu akikomalia ishu lazima utimuliwe shule tu
Sembuche'SUA'full majigambo ya kukamata watu kwenye maths
......................
.........................

usimsahau unyama unyama pale mazengo , lushita na dhebu wa mazengo primary.
 
haha haaa,degelingi nimekukamata,siyo dhebu,sema week la vebu,huyo ni bendera mr.uongo?kitu mayunga!
 
Mrs Gupta, aki-conceive tu ni balaa mboko kwa kwenda mbele hana kingine alichokuwa anajua.
 
mr. Losujaki, almaarafu kama chief wa ilboru,,, huyu alikua hafai jamani,,, mtata vibaya mno
 
jb green acres
mwl. nico mwenge ps!
sitosahau ticha izi mbili
 
Mwlm Lwiva almaarufu kama MAN U pale karatu boys. Huyu hajawahi kucheka na mwanafunzi.
Sasa yuko UDOM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom