DICKSON LUCAS
New Member
- Apr 1, 2016
- 1
- 0
Moja ya story kubwa zinazosubiriwa sana msimu huu wa usajili ni kuhusu kocha LVG kuacha kazi kwenye club ya Manchester United. Kocha ambae anatajwa sana kuchukua mikoba ya LVG ni Jose Mourihno.
Sasa swali ni kwamba wapi ataenda baada ya kutoka Manchester United?. Leo zimetoka ripoti kwamba timu ya taifa ya Netherlands inataka kumpa kazi ya technical director kwenye ishu za soka nchini kwao.
LVG amepata sifa ya kuweza kuwapa nafasi vijana wadogo ambao walikua kwenye academy ya Manchester United kitu ambacho ni kizuri kwa future ya soka la Manchester United.
Kocha wa sasa wa Netherlands Danny Blind aliwai kusema kwamba anamkaribisha LVG ili waweze kufanya kazi pamoja kama walivyowahi kufanya kazi ndani ya Brazil.