Karibu sana nyumbani kwangu tule pasaka..panda gari hadi mkonoo nauli buku,chukua gari la Engutoto nauli buku3,shukia kanisan pentekoste,panda bodaboda elfu 7 shukia kituo cha ujamaa utawakuta vijana wanavusha watu mtoni utawapa elfu 4 hapo kuna baiskel utailipia elfu 5 utashukia barazan,ulizia kwangu kijana yeyote atakuleta utampa elfu 1.Karibu sana ndugu yangu.