Kama Urithi ndio hivi;hakuna atakaeacha urithi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Urithi ndio hivi;hakuna atakaeacha urithi jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OkSIR, Oct 16, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wapenzi;akika wengine labda atukujua nini maana ya urithi tukiwa wadogo..ila tunavyoona sasa hivi mmhhhh
  mzee wetu mmoja amefariki kama mwaka uliopita;aliacha mali nyingi tu na nzuri za kuanzia maisha ..hakika watoto walikaribiana kuuana...kwenye mgao..jamani hivi sasa mkiwaona wale watoto mungu wangu..nilitamani hata wasingepata kitu ;labda wangekuwa mbali..mwenye nyumba kaenda kauza zote.mwenye gari kauza...yaani kama kungekuwa na urithi wa wanwake hakika nae anguzwa ......hivi sasa famili inaishi kama imeokotwa

  Ndipo nikafikia kusema jaman kama na sema tena kama wanaoacha urithi wangeonyeshwa kile kinachofanyika baada ya kufa hakika akina angeacha urithi wowote...any way...ndio hivyo tumezaliwa tumeukuta ...ila akika mtakaopewa urithi jaribuni kulinda mali zenu na kuacha kuaibika

  nawatakiwa kila la kheri warithi wote watarajiwa
   
 2. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ndio maana katika nchi nyingine hairuhusiwi kufuja mali uliyopata kwa urithi mpaka ipite kipindi fulani.sijui sheria ya urithi ya tanzania ikoje;
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Mali inayopatikana bila jasho huwa haina maarifa ya jinsi ya kuiendesha!

  Just overnight mtu una mali ambayo huku"dream kuwa nayo,...what do you expect??....shambles!!
   
Loading...