Kama upo ugenini na huna sehemu ya kulala fanya yafuatayo

Songea mjini, kwenye kampuni ya bus Super Feo, ukikata ticket ya bus unaoneshwa sehemu ya kulala ya wateja waliokata ticket kwa safari za alfajiri, sehemu ya kulala ni hall kubwa, wameweka mikeka na TV ukutani, Kuna choo na bafu pia, alfajiri mabasi yao yanawafata yanawapeleka stendi ya mabasi Songea, inaitwa shule ya Tanga so kama umebakiwa na nauli tu na pa kulala huna, hapo patakusaidia sana
Ongezeeni hii
 
Najua wengi wetu tunapitia changamoto nyingi, moja ni hii ya kuwa ugenini either mikoani au popote pale ila unajikuta umeenda kutafuta maisha au jambo jingine ila bahati mbaya ukawa huna sehemu ya kulala kwa usiku huo.

Kama huna pesa wala sehemu ya kulala na gharama huziwezi huku wewe ni mgeni na huna ndugu basi mm nakushauri kaa maeneo ya stend mpaka saa tano usiku ukiona movement hamna ondoka tafuta sehemu yoyote ambapo kuna NIGHT CLUB na mara nyingi hizi night club huwa located near bus terminal. Ukienda club ingia sehemu iliyoandikwa LOUNGE humo utakuta soda nzito nene ndefu utapumzika mpaka asubuhi.

Kama upo mkoa Kati ya hii basi ingia club hii utakaa mpaka papambazuke uondoke.

1. ARUSHA ~ Ingia picnic night club utakaa hapo mpaka asubuhi.

2. DAR ES SALAAM ~ Sehemu ulipo Kuna night club ulizia uingie humo mpaka asubuhi.

3. DODOMA ~ ingia chakonichako lala mpaka asubuhi

4. GEITA ~ Ingia Pin point pub wa nakesha mpaka asubuhi

5. IRINGA MJINI ~ ingia club La Parte au Miami night club nenda kalale Bure kabisa

6. BUKOBA MJINI ~ Kalale Linas Night Club

7. MPANDA MJINI ~ Niliwahi kupita tu sikulala hivyo sikujua mazingira vizuri ila ingia mtaa wa Fisi uliza huwezi Kosa club.

8. KIGOMA MJINI ~ ingia The WALLET night club kwenye chumba cha lounge lala.

9. MOSHI MJINI ~ Nenda kwa wale wahindi RED STONE au MALINDI night club Kuna lounge ingia lala mpaka asubuhi.

10. LINDI MJINI ~ Ingia sakina au Business Park ipo nyuma ya stend hakuna lounge ila Kuna makochi kwenye bar lala mpaka asubuhi.

11. BABATI MJINI ~ Ingia Legends Sports Bar Kuna bonge la lounge full AC kalale.

12. MUSOMA MJINI ~ Karibu na NBC Bank uliza ghorofani kalale Kuna night club au nenda ADAVI

13. MBEYA MJINI ~ Ingia city pub au mbeya pazuri kalale

14. MOROGORO MJINI ~ Ingia samakisamaki Kuna lounge lala.

15. MTWARA MJINI ~ Ingia pale Makonde Royal Night Club Kuna lounge kalale

16. MWANZA MJINI ~ Ingia The CASK Kuna bonge la lounge kalale.

17. NJOMBE MJINI ~ Uliza TALE PUB wanakesha, kalale mpaka morning.

18. KIBAHA MJINI ~ Nenda Forest kitimoto bar, kama ni muislam utajua mwenyewe.

19. SUMBAWANGA MJINI ~ Kuna bonge la night club linaitwa M THE BEST NIGHT CLUB ingia lala OK.

20. SONGEA MJINI ~ Nenda LA Chaz kalale.

21. SHINYANGA MJINI ~ Uliza New Down Town Pub ipo mtaa wa maduka mengi near La Prince Pub, ingia kalale OK.

22. BARIADI MJINI ~ Ingia Club Refresh nilienda pale nikawa Sina pesa ya gest, nikaenda kulala wakasema ninunue kinywaji, hivyo jitahidi uende na buku la soda unywe mpaka asubuhi.

23. SINGIDA MJINI ~ Nenda Nyokaa night club ipo mbele ya rodes ingia ulale.

24. VWAWA MJINI (SONGWE) ~ Ingia matako bar sio pasafi lakini kalale.

25. TABORA MJINI ~ Ingia Oxgen pub (O2) nenda ulale.

26. TANGA ~ Ingia Club Lavida kalale.

Hapo juu ni night clubs za mikoa yote, yote hiyo naijua maana kote nimezunguka ktk harakati za hapa na pale ni salama zaidi kwenda humo kulala kuliko kwenda kituo cha polisi.
Wewe kiboko wa kulala night clubs
 
Mtoa hoja inaonekana hata kama hayupo safarini ni mtu wa night clubs,
Usijifiche kwenye mwamvuli wa ugenini;

Mbona hata makanisa ya kilokole hayafungwi kuruhusu mtu yeyote mda wowote kuingia?
Kama upo ugenini tafuta kanisa la kilokole, ingia, omba kidogo, lala usingiz mzuuur kabisa
 
Ninjia mojawapo pia
 
Hakika kabisa hata mimi nimewahi kuitumia hii njia mara kadhaa kuna muda unaenda ugenini tena uweza kukuta unapesa tu sema umefika late labda unaamua uzuge kwenye nights club mpaka asubuh
 
Najua wengi wetu tunapitia changamoto nyingi, moja ni hii ya kuwa ugenini either mikoani au popote pale ila unajikuta umeenda kutafuta maisha au jambo jingine ila bahati mbaya ukawa huna sehemu ya kulala kwa usiku huo.

Kama huna pesa wala sehemu ya kulala na gharama huziwezi huku wewe ni mgeni na huna ndugu basi mm nakushauri kaa maeneo ya stend mpaka saa tano usiku ukiona movement hamna ondoka tafuta sehemu yoyote ambapo kuna NIGHT CLUB na mara nyingi hizi night club huwa located near bus terminal. Ukienda club ingia sehemu iliyoandikwa LOUNGE humo utakuta soda nzito nene ndefu utapumzika mpaka asubuhi.

Kama upo mkoa Kati ya hii basi ingia club hii utakaa mpaka papambazuke uondoke.

1. ARUSHA ~ Ingia picnic night club utakaa hapo mpaka asubuhi.

2. DAR ES SALAAM ~ Sehemu ulipo Kuna night club ulizia uingie humo mpaka asubuhi.

3. DODOMA ~ ingia chakonichako lala mpaka asubuhi

4. GEITA ~ Ingia Pin point pub wa nakesha mpaka asubuhi

5. IRINGA MJINI ~ ingia club La Parte au Miami night club nenda kalale Bure kabisa

6. BUKOBA MJINI ~ Kalale Linas Night Club

7. MPANDA MJINI ~ Niliwahi kupita tu sikulala hivyo sikujua mazingira vizuri ila ingia mtaa wa Fisi uliza huwezi Kosa club.

8. KIGOMA MJINI ~ ingia The WALLET night club kwenye chumba cha lounge lala.

9. MOSHI MJINI ~ Nenda kwa wale wahindi RED STONE au MALINDI night club Kuna lounge ingia lala mpaka asubuhi.

10. LINDI MJINI ~ Ingia sakina au Business Park ipo nyuma ya stend hakuna lounge ila Kuna makochi kwenye bar lala mpaka asubuhi.

11. BABATI MJINI ~ Ingia Legends Sports Bar Kuna bonge la lounge full AC kalale.

12. MUSOMA MJINI ~ Karibu na NBC Bank uliza ghorofani kalale Kuna night club au nenda ADAVI

13. MBEYA MJINI ~ Ingia city pub au mbeya pazuri kalale

14. MOROGORO MJINI ~ Ingia samakisamaki Kuna lounge lala.

15. MTWARA MJINI ~ Ingia pale Makonde Royal Night Club Kuna lounge kalale

16. MWANZA MJINI ~ Ingia The CASK Kuna bonge la lounge kalale.

17. NJOMBE MJINI ~ Uliza TALE PUB wanakesha, kalale mpaka morning.

18. KIBAHA MJINI ~ Nenda Forest kitimoto bar, kama ni muislam utajua mwenyewe.

19. SUMBAWANGA MJINI ~ Kuna bonge la night club linaitwa M THE BEST NIGHT CLUB ingia lala OK.

20. SONGEA MJINI ~ Nenda LA Chaz kalale.

21. SHINYANGA MJINI ~ Uliza New Down Town Pub ipo mtaa wa maduka mengi near La Prince Pub, ingia kalale OK.

22. BARIADI MJINI ~ Ingia Club Refresh nilienda pale nikawa Sina pesa ya gest, nikaenda kulala wakasema ninunue kinywaji, hivyo jitahidi uende na buku la soda unywe mpaka asubuhi.

23. SINGIDA MJINI ~ Nenda Nyokaa night club ipo mbele ya rodes ingia ulale.

24. VWAWA MJINI (SONGWE) ~ Ingia matako bar sio pasafi lakini kalale.

25. TABORA MJINI ~ Ingia Oxgen pub (O2) nenda ulale.

26. TANGA ~ Ingia Club Lavida kalale.

Hapo juu ni night clubs za mikoa yote, yote hiyo naijua maana kote nimezunguka ktk harakati za hapa na pale ni salama zaidi kwenda humo kulala kuliko kwenda kituo cha polisi.
Hizo night club kuingia ni bure? na begi unaweka wapi?
 
Back
Top Bottom