katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,756
Discussions za kibiashara zipo jukwaa la biashara. Hapa unatuzuga tu hilo litakuwa group za mapenzi na ngono!Wadau kama upo serious kupata mawazo ya kibiashara au kimaisha au wewe ni mshauri wa kibiashara na maisha nataka kuanzisha group hata humu jf watu wasaidiane au wasaidike kutokana na mashauri au ushauri utakaotolewa na wahusika wa hili group ambalo litaanzishwa au pia discussion kuhusu biashara mbalimbali na maisha pia.
Halafu kingine kwa wale wanaotaka kushauriwa kuhusu afya pia sio mbaya mkijiunga.
Nakama unataka nikuadd post hapa unataka nakuadd kwenye group.
Haahaa jamani hata aje mtu Ambaye anania nzuri mtamsema vibayaDiscussions za kibiashara zipo jukwaa la biashara. Hapa unatuzuga tu hilo litakuwa group za mapenzi na ngono!
WhtsuppHilo group unaanzisha wapi?
Haahaa jamani hata aje mtu Ambaye anania nzuri mtamsema vibaya
Unaweza kutengeneza group hata hapa JF.Whtsupp
Maisha ndio mapenzi na ndoaPoint yake ni kwamba mada yako ungepeleka jukwaa la biashara
Huku tuko mapenzini
Ndio ninaweza ndio maana nauliza nani atajoin??Unaweza kutengeneza group hata hapa JF.
Group litaanza watu wakijoin kumi na litakuwa linajadili mambo mengi ya maisha nakushaurina litakuwa zuri kwa maana ni wale wanaotaka mashauri katika maisha.weka link
Nahitaji kumi mmekubali 2 bado nane tuanze.katoto kazuri embu ni add fasta tumalize hili suala naona unapambana sana na ni muda mrefu sasa. nahisi ni wakati muafaka sasa wa kukusaidia na hii baridi.
Tunaweza kuanza mbona tukiwa wawili inakua rahisi zaidiNahitaji kumi mmekubali 2 bado nane tuanze.
Sawahl grupu likiwa tayari naomba niwe mueka hazina mana hakuna biashara bila pesa
Kwa wewe unataka kujoin?weka anwani watajiunga tuu....wewe si ndio admn......
HajakuelewaTunaweza kuanza mbona tukiwa wawili inakua rahisi zaidi