Kama ungekuwa wewe ungefanyaje!!

nitatoa somo la alama za barabarani na usalama barabani kwa wanafunzi.
 
duuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhh..............unaweza ukapiga zaidihadi ukang'ata na meno
 
Huyo mwanafunzi hufuata taratibu japo hapo yupo wrong. Ni suala la kumuelimisha tu basi.

Kuna mwingine amewahi kuagizwa gazeti la tarehe 2 na alipewa sh 2000. Akaenda kwa muuza magazeti akakuta yapo ya tarehe 1 kwakuwa ilikuwa asubuhi na ni mikoani. Doga alifikiria 1+1 ni 2 basi akanunua magezeti ya tarehe 1 mawili ili apate gazeti la tarehe 2.
Kama huyu ungemfanya nini?
 
ningemtegemea kwa means nyengine za kuja nisaidia lakini sio elimu
 
huyo hakuwa na akiri sawa sawa!!bakora size yake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…