Kama unauza piki piki

R_Breazy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2025
Posts
363
Reaction score
711
Habari

Kama unauza piki piki, kuna hivi vidogo vya mafuta acha vile vya kuchaji.
Naomba uweke mawasiliano tufanye biashara, iwe kipya au used

Sina picha ila kwa wahusika mmeelewa nilichoeleza kama mteja

Habari

Kama unauza piki piki, kuna hivi vidogo vya mafuta acha vile vya kuchaji.
Naomba uweke mawasiliano tufanye biashara, iwe kipya au used

Sina picha ila kwa wahusika mmeelewa nilichoeleza kama mteja
Heading yako ungeweka kwamba..... NINATAFUTA PIKIPIKI YA KUCHAJI
 
Dereva wa Bajaji huwa anawezaje kuendesha kile chombo wakati pale mbele amekaa na watu wengine wawili huku yeye amekaa pembeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…