[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Jinsi ya kupata mpenzi bora*
*1_ lazima na wewe uwe bora kwanza*
*2_ lazima na wewe ujiheshimu*
*3_ kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako!*
*4_ ukitaka msomi akikisha na wewe umesoma*
*5_ ukikosa* *kabisa*
*njoo kwangu* *nikulambe vibao akili ifunguke nyau* *wewe[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]*
[emoji15] [emoji3] [emoji15]*Jinsi ya kupata mpenzi bora*
*1_ lazima na wewe uwe bora kwanza*
*2_ lazima na wewe ujiheshimu*
*3_ kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako!*
*4_ ukitaka msomi akikisha na wewe umesoma*
*5_ ukikosa* *kabisa*
*njoo kwangu* *nikulambe vibao akili ifunguke nyau* *wewe[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]*
Malizia 'nyau wewe' πππ[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Heaven Sent una magari mangapi?
Kuna hatari hata ukiwa unapotea hata sisimizi ndani ya nyumba watanywea tu wanakuangalia unaangamia.Honestly, nikiwahi kupata mafanikio ninayoyapigania kwa sasa kwenye kuoa ntaoa hata wa form four sitajali... ili kama nnachokipigania kitakwama kabisa kabisa kabis ndo ntakimbilia kutafuta graduate mwenzangu tuwe tunapigana vibao na kupangiana zamu ya kudeki nyumba.. π‘π‘π‘π‘π‘ Lakini nafarijika sana kuoa asiye na elimu ili niwe Baba mwenye nyumba wa ukweeeee... Yaani nikikohoa tu mpaka sisimizi ndani ya nyumba wananywea
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Malizia 'nyau wewe' πππ
eti unakuta mwanamke anasema anataka real man wakati yeye ni fake,nywele fake,kope na kucha bandia,rangi ya kununua kichwani bashite mweee
Lift utapewa ilana wewe uwe na lako siku ingine tulitumie.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Msitufanyie hivyo jamani!! Basi hata kalift tu.
Hahaha eeeh!!!!eti unakuta mwanamke anasema anataka real man wakati yeye ni fake,nywele fake,kope na kucha bandia,rangi ya kununua kichwani bashite mweee
Alafu wewe na vigezo vyako chaaah!!Lift utapewa ilana wewe uwe na lako siku ingine tulitumie.