Mashart ya uzi huu soma tu then nenda usichangie kitu.Bilashaka watakao fungua uzi huu ni wadada tu, ntashangaa kuona mijianaume inaingia huku.
Wadada ukitaka kuolewa lazima ufanye yafuatayo.
1. Usionesha kama unashauku sana ya kuolewa.
2.weka vigezo vya mwenza unaemtaka.
3.usikubali kutoa penzi mapema tena ikiwezekana subiri mpaka siku husika.
4.Jitenge na makundi yasiyosemwa vizuri
5.Vaa mavazi ya heshima.
6.jenga uchumi wako ili usiwe tegemezi.
7. Epuka kubeba mimba kabla hujaolewa.
8. Achana na stori za kimbea
Ukiweza kufanya haya hakika hutabaki bila mwenza, kila la kheri.
Hivi bado zile naniliu za Mzee zinakuchoma choma??????Bilashaka watakao fungua uzi huu ni wadada tu, ntashangaa kuona mijianaume inaingia huku.
Wadada ukitaka kuolewa lazima ufanye yafuatayo.
1. Usionesha kama unashauku sana ya kuolewa.
2.weka vigezo vya mwenza unaemtaka.
3.usikubali kutoa penzi mapema tena ikiwezekana subiri mpaka siku husika.
4.Jitenge na makundi yasiyosemwa vizuri
5.Vaa mavazi ya heshima.
6.jenga uchumi wako ili usiwe tegemezi.
7. Epuka kubeba mimba kabla hujaolewa.
8. Achana na stori za kimbea
Ukiweza kufanya haya hakika hutabaki bila mwenza, kila la kheri.
Unenena yaliyo kweli.Bilashaka watakao fungua uzi huu ni wadada tu, ntashangaa kuona mijianaume inaingia huku.
Wadada ukitaka kuolewa lazima ufanye yafuatayo.
1. Usionesha kama unashauku sana ya kuolewa.
2.weka vigezo vya mwenza unaemtaka.
3.usikubali kutoa penzi mapema tena ikiwezekana subiri mpaka siku husika.
4.Jitenge na makundi yasiyosemwa vizuri
5.Vaa mavazi ya heshima.
6.jenga uchumi wako ili usiwe tegemezi.
7. Epuka kubeba mimba kabla hujaolewa.
8. Achana na stori za kimbea
Ukiweza kufanya haya hakika hutabaki bila mwenza, kila la kheri.
Kumbe???? Thx MoniccaUrembo wako unaendana na hekima yako. Big up bidada
Mi nataka kuowaRejea kwenye mada husika
6.jenga uchumi wako usiwe tegemezi.Naunga mkono...
Ah wee! Mizinga kama kawa bana6.jenga uchumi wako usiwe tegemezi.
Sasa nikuone kule unashabikia kupiga mizinga.
Umefuata nini chumba cha wadada hichi? Kheee tena umevaa sketi !makubwa lazma utakuwa shangazi wa kiume wewe, vinyweleo vyako vya shingo vimenyea kwa kupumuliwa na mamen wenzioNimekuelewa Hili Mwanamke Aolewe, Inabid " Ajifanyishe Aigize" Na Si Kwamba Ni Kwa Sababu Anastahil Kutokana Na Jinsi Alivyo (Nature Yake)Na Akishapata Anachotaka (Ndoa) Anaanza Tabia Zake Halisi Sasa Kumbe... Ndio Maana Wengne Bado Hatuelewek Katika Kuoa, Kwa Sababu Maigizo Mengi.