Kama Unataka Demu..JF..unataka aweje?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
45,510
Reaction score
96,057
Kama unataka demu sema aweje..aweje
kama akienda bogie unapenda atokeje tokeje

Ndio nataka demu lakini,tuanzie JF ila asiwe FF
awe kama Preta..mtoto anajua Kudeka
asiwe kama Afrodenzi..yule wa mbezi

awe na mvuto kama Mwali...wadau wate JF wanamkubali


JF..Chit Chat...
 
NI USINGOMBINGO tu huo trhead gani hiyo...Hakuna mademu humu nenda kapige NY...O
 
Nga kustuka na machale kukudesa sio? Hahahah

1.Ngastuka mademu kuvaa nusu uchi,machale kundesa wanasambaza virusi

2.Ngastuka mbege ni tamu kuliko bia,machale kundesa gongo inatuharibia
 
unakuta unamzingua kumtongoza na yeye anabisha kweli,halafu na hizi ID utadhani ndoo mnaanza mapenzi,
ile mnatumiana emails za picha kumbe x wako
 
Nawasalimu tu, mi nilijua mziki huu huuwezu weye
Ndo mana nikampa TANMO
Utatongoza mkeo bure
 
Mh! Jamani, dunia kwishnei! Mi nataka kuoa.. Sifa.1.awe mrefu ft 5. Awe anapenda kujirusha! 3. Asipende kusikia la mtu!.1 awe mbunifu kita*ni' hata nipate ulemavu asiniache. Ciaos.!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…