Kama unatafuta mapenzi ya kweli hujachelewa!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Ni hivi kama wewe ni mwanamke na umekuwa ukiteswa kihisia na wanaume walaghai wa mapenzi nakuhakikishia hivi!
Mapenzi ya kweli yapo kwetu sisi wanaume mabahili maana sisi hatuna kitu cha kuhonga zaidi ya mapenzi ya kweli na shoo ndefu ndefu za dk 120!
Msije mkasema hamjaambiwa!
Na logoff
 
Nitarudi, nasubiria kwanza Ma kungwi wangu waje kutoa misimamo yao 😉
 
Ni hivi kama wewe ni mwanamke na umekuwa ukiteswa kihisia na wanaume walaghai wa mapenzi nakuhakikishia hivi!
Mapenzi ya kweli yapo kwetu sisi wanaume mabahili maana sisi hatuna kitu cha kuhonga zaidi ya mapenzi ya kweli na shoo ndefu ndefu za dk 120!
Msije mkasema hamjaambiwa!
Na logoff
Na mnavyojua kusimamia vidole kwenye show,hatari ili msiachwe hahahhaha
 
Back
Top Bottom