Kama unashangaa ubabe aliyofanyiwa Shyrose Banji, basi hujayasikia ya Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu

Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya kibinadamu. Katiba inampa rais umungu mtu.

Wiki iliyopita dada yetu Shyrose Banji alimlalamikia rais Magufuli na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kutumia madaraka yake vibaya na kuamua kukata jina lake kibabe. Hata pale walipojitokeza wajumbe 4 kutaka kutoa maelezo na sifa za dada Shyrose JPM alisisitiza hataki kulisikia jina hili na kutaka likatwe.

Lakini hayo ya Shyrose Banji ni madogo sana ukilinganisha na yale yaliyowakuta akina Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu ktk kikao cha wabunge wa ccm tupu wao huita "caucus" . Ambapo mwenyekiti alikuwa akiwalisha yamini wabunge wa ccm kukubaliana na kila linalofanywa na serikali.

Mnyetishaji wangu kanifunulia kuwa Dr. Kafumu alipewa makavu laivu eti kwamba kamati yake inaponda kila mkakati na sera zilizoandaliwa na serikali kwa sabb Dr. Kafumu alitarajia kupewa uwaziri. Sasa hasira zake za kukosa uwaziri ndiyo kazihamishia kwenye maoni ya kamati aliyokuwa akiiongoza. Daah! Jamani!

Lkn pia ni kamati ya Dr kafumu ndiyo iliyopanga kwenda kumuona Lema gereza la Kisongo ambapo mhe rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi alilaani mpango huu uliyoshindikana kutekelezwa baada ya muda kukosekana. Ikumbukwe Lema ni mjumbe wa kamati hii. Mambo haya ndiyo yaliyowafanya Dr. Kafumu na Vicky Kamata kuamua kuachia nafasi zao kwenye kamati hii.

Mwenyekiti wa chama hakuishia hapo. Alimdhalilisha Abdallah Bulembo ambaye ndiyo kwanza alikuwa ameteuliwa kuwa mbunge kwa kumtaka amkanye mwanaye wa kike ambaye pia ni mbunge. Eti kwasabb mwanaye huyu ana mahusiano na mbunge wa upinzani hivyo kwa vyovyote atakauwa anatoa siri za ccm kwa mchepuko huo wa upinzani.

Kwa hili kwakweli Abdallah Bulembo Kama kweli uliambiwa haya mbele ya wabunge wenzako na mbele ya mwanao, basi ulidhalilishwa sana. Binti yako sasa ana miaka 22 na ni mbunge. Wewe unahusika vipi na mahusiano yake ya kimapenzi yasiyo rasmi? Siyo rasmi kwasabb mwanao hajakuletea huyo mwanaume umtambue rasmi. Mwanao anakata kiu tu ya kiutu uzima.

Kwa mila na desturi za kiafrika baba hapaswi hata kuambiwa kuwa mwanae wa kike ni mchepuko wa fulani. Ni mwiko. It is an abomination.

Rais huyu si mara ya kwanza kuwararua wenzake mbele za watu. Tunayakumbuka ya balozi Mahiga na waziri Lukuvi kuhusu wake zao.

Suluhu ya kashfa zote na dharau zote hizi ni katiba Mpya.
Mlevi Shyroze ana sifa gani hata mimi ningekata jina lake.Slipewa ubunge wa Afrika mashariki unajua vituko vyake na aibu aliyotutia huko
2.Kafumu huyu ni mwizi na alikuwa kamishna wa madini na akatuingiza kwenye matatizo mengi sana .hana uzalendo ni mwizi tu
3.Mke wa Lukuvi alikuwa ATCL miaka nenda rudi wanachukua ndege ya shirika kwenda Dubai kwa mafuta ya Serikali kwa biashara zao.wanajaza kwenye ndege mizigo yao na biashara zao.sasa ulitaka awabembeleze.Tupilia mbali uchafu wao wote hao .Endelea juwatetea na bado hujawataja kina ngeleja , maige majambazi matupu ya siasa wametupiga sana kwenye madini na utalii na hasa huyu Ngeleja huyu
 
Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya kibinadamu. Katiba inampa rais umungu mtu.

Wiki iliyopita dada yetu Shyrose Banji alimlalamikia rais Magufuli na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kutumia madaraka yake vibaya na kuamua kukata jina lake kibabe. Hata pale walipojitokeza wajumbe 4 kutaka kutoa maelezo na sifa za dada Shyrose JPM alisisitiza hataki kulisikia jina hili na kutaka likatwe.

Lakini hayo ya Shyrose Banji ni madogo sana ukilinganisha na yale yaliyowakuta akina Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu ktk kikao cha wabunge wa ccm tupu wao huita "caucus" . Ambapo mwenyekiti alikuwa akiwalisha yamini wabunge wa ccm kukubaliana na kila linalofanywa na serikali.

Mnyetishaji wangu kanifunulia kuwa Dr. Kafumu alipewa makavu laivu eti kwamba kamati yake inaponda kila mkakati na sera zilizoandaliwa na serikali kwa sabb Dr. Kafumu alitarajia kupewa uwaziri. Sasa hasira zake za kukosa uwaziri ndiyo kazihamishia kwenye maoni ya kamati aliyokuwa akiiongoza. Daah! Jamani!

Lkn pia ni kamati ya Dr kafumu ndiyo iliyopanga kwenda kumuona Lema gereza la Kisongo ambapo mhe rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi alilaani mpango huu uliyoshindikana kutekelezwa baada ya muda kukosekana. Ikumbukwe Lema ni mjumbe wa kamati hii. Mambo haya ndiyo yaliyowafanya Dr. Kafumu na Vicky Kamata kuamua kuachia nafasi zao kwenye kamati hii.

Mwenyekiti wa chama hakuishia hapo. Alimdhalilisha Abdallah Bulembo ambaye ndiyo kwanza alikuwa ameteuliwa kuwa mbunge kwa kumtaka amkanye mwanaye wa kike ambaye pia ni mbunge. Eti kwasabb mwanaye huyu ana mahusiano na mbunge wa upinzani hivyo kwa vyovyote atakauwa anatoa siri za ccm kwa mchepuko huo wa upinzani.

Kwa hili kwakweli Abdallah Bulembo Kama kweli uliambiwa haya mbele ya wabunge wenzako na mbele ya mwanao, basi ulidhalilishwa sana. Binti yako sasa ana miaka 22 na ni mbunge. Wewe unahusika vipi na mahusiano yake ya kimapenzi yasiyo rasmi? Siyo rasmi kwasabb mwanao hajakuletea huyo mwanaume umtambue rasmi. Mwanao anakata kiu tu ya kiutu uzima.

Kwa mila na desturi za kiafrika baba hapaswi hata kuambiwa kuwa mwanae wa kike ni mchepuko wa fulani. Ni mwiko. It is an abomination.

Rais huyu si mara ya kwanza kuwararua wenzake mbele za watu. Tunayakumbuka ya balozi Mahiga na waziri Lukuvi kuhusu wake zao.

Suluhu ya kashfa zote na dharau zote hizi ni katiba Mpya.
Watu na unabii wenu. Tuliona mapema sana haya wenye akili.
Katika awamu hii ya tano ndo watanzania tumeona kweli ni kwa jinsi gani Katika mpya inayosimamia misingi ya Uhuru na Haki pamoja na kuweka mifumo imara ya utawala na kupunguza madaraka ya Raisi ni muhimu!!
 
Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya kibinadamu. Katiba inampa rais umungu mtu.

Wiki iliyopita dada yetu Shyrose Banji alimlalamikia rais Magufuli na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kutumia madaraka yake vibaya na kuamua kukata jina lake kibabe. Hata pale walipojitokeza wajumbe 4 kutaka kutoa maelezo na sifa za dada Shyrose JPM alisisitiza hataki kulisikia jina hili na kutaka likatwe.

Lakini hayo ya Shyrose Banji ni madogo sana ukilinganisha na yale yaliyowakuta akina Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu ktk kikao cha wabunge wa ccm tupu wao huita "caucus" . Ambapo mwenyekiti alikuwa akiwalisha yamini wabunge wa ccm kukubaliana na kila linalofanywa na serikali.

Mnyetishaji wangu kanifunulia kuwa Dr. Kafumu alipewa makavu laivu eti kwamba kamati yake inaponda kila mkakati na sera zilizoandaliwa na serikali kwa sabb Dr. Kafumu alitarajia kupewa uwaziri. Sasa hasira zake za kukosa uwaziri ndiyo kazihamishia kwenye maoni ya kamati aliyokuwa akiiongoza. Daah! Jamani!

Lkn pia ni kamati ya Dr kafumu ndiyo iliyopanga kwenda kumuona Lema gereza la Kisongo ambapo mhe rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi alilaani mpango huu uliyoshindikana kutekelezwa baada ya muda kukosekana. Ikumbukwe Lema ni mjumbe wa kamati hii. Mambo haya ndiyo yaliyowafanya Dr. Kafumu na Vicky Kamata kuamua kuachia nafasi zao kwenye kamati hii.

Mwenyekiti wa chama hakuishia hapo. Alimdhalilisha Abdallah Bulembo ambaye ndiyo kwanza alikuwa ameteuliwa kuwa mbunge kwa kumtaka amkanye mwanaye wa kike ambaye pia ni mbunge. Eti kwasabb mwanaye huyu ana mahusiano na mbunge wa upinzani hivyo kwa vyovyote atakauwa anatoa siri za ccm kwa mchepuko huo wa upinzani.

Kwa hili kwakweli Abdallah Bulembo Kama kweli uliambiwa haya mbele ya wabunge wenzako na mbele ya mwanao, basi ulidhalilishwa sana. Binti yako sasa ana miaka 22 na ni mbunge. Wewe unahusika vipi na mahusiano yake ya kimapenzi yasiyo rasmi? Siyo rasmi kwasabb mwanao hajakuletea huyo mwanaume umtambue rasmi. Mwanao anakata kiu tu ya kiutu uzima.

Kwa mila na desturi za kiafrika baba hapaswi hata kuambiwa kuwa mwanae wa kike ni mchepuko wa fulani. Ni mwiko. It is an abomination.

Rais huyu si mara ya kwanza kuwararua wenzake mbele za watu. Tunayakumbuka ya balozi Mahiga na waziri Lukuvi kuhusu wake zao.

Suluhu ya kashfa zote na dharau zote hizi ni katiba Mpya.
Mbona Trump na katiba yao tunao iona ni bora bado naye anafanya yake??? Akina Bolton etc hawapo na waligombezwa mbele ya kadamnasi na mbona husemi kwanini hataki kumsikia Shyrose?? Maana mtu mwingine atafikiria labda sababu ya ubaguzi kumbe ana sababu za msingi, je wajua sifa za kuwa kiongozi mzuri ??? Lead by example
 
Back
Top Bottom