Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,094
- 62,026
Akiwa amelala. Mvizie uchukue damu iende ikafanyiwe vipimo.Kama unapenda chini usiogope kupima;kuna rafiki yangu huwa tunashauriana katika shughuli mbalimbali...leo amenifuata,akaniambia brother najisikia mgonjwa mgonjwa nimecheki malaria maabara nikaonekana sina...sijui nitakuwa naumwa nini.Nikamshauri,kaangalie UTI,typhoid n.k Jamaa hakwenda,namtafuta baadaye kumuulizia umeenda kucheki.....akasema nimeamua kunywa maji tu nitapona.
Ujasiri upo?
ha ha ha ha huo sio uzalendoAkiwa amelala. Mvizie uchukue damu iende ikafanyiwe vipimo.
Kama kweli unampenda,utafanya hivo
Hiyo kesi ni sawa na kumtukana Magu mitandaoni!!..Akiwa amelala. Mvizie uchukue damu iende ikafanyiwe vipimo.
Kama kweli unampenda,utafanya hivo
Haya mambo tumuombe Mungu ayaepushe mbaliHiyo kesi ni sawa na kumtukana Magu mitandaoni!!..
Kupima ni hiari (optional)!..
Maji nayo ni tiba!Haya mambo tumuombe Mungu ayaepushe mbali
ha ha ha ha haMaji nayo ni tiba!
mwenyewe nikienda hospital natoa angalizo kupima malaria tu, heri warudie nitoboa kuchukua damu upya kuliko walete majibu ya kitu kingine!..
Nawaambia imma task oriented sipendi juwa nisivyo na shida navyo!.