Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Sasa mkuu unategemea utapata mwanamke ambaye wewe ndiye utakuwa mwanamume wake chaguo la kwanza?Wanawake sio sawa na Wanaume Mkuu.
Mwanamke anapaswa ajitunze, na upendo wa mwanamke haugawanyiki kama sisi wanaume.
ndio wapo mkuu, ukiweka odaSasa mkuu unategemea utapata mwanamke ambaye wewe ndiye utakuwa mwanamume wake chaguo la kwanza?
Mwanamke anapenda vitu na ana mtii mtu ( mwanaume) .Habari zenu wakuu.
Kwa maisha ya sasa kama utaamua kuoa ili upendwe na Mke basi unajidanganya, maana wanawake wengi wasio na Bikra washaumizwa na watu waliowapenda kabla yako na hawamuamini Mwanaume wala kumpenda kwa moyo mmoja.
Ukiona mwanamke kakubali kuolewa nawewe basi tambua kuwa hajakufuata wewe kwenye ndoa isipokuwa vitu.
Oda akiwa tumboni au?ndio wapo mkuu, ukiweka oda