LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,631
Umeongea kitu cha kweli japo kama unavyojua hii nchi ni ya wapumbavu na malofa,kwao wao muhimu ni kushabikia upuuzi lakini ukiongea ukweli namna hii waonekana kituko,kuna watu wanafanya vitu kwa kudhani wao ni wajanja au kwa kudhani wanawaumiza wengine kwa kuwatiki kumbe wanajiumiza wenyewe kwa kutikiwa,kwani kuna tatizo gani ikiwa mtu ataamua kutulia na mwanamke wake au mwanaume wake mmoja akajihakikishia usalama na mapenzi tele !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app