Kama unamfahamu mwanaume yeyote mwenye tabia hii mwambie aache madhara yake ni makubwa sana

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Nlikuwa chuo miaka ya nyuma huko naishi na jamaa mmoja mkwavi sana, yule mkambala alikuwa ana tabia za kijuvi na kibazazi hasa. Alikuwa akianza kufahamiana na mwanamke anaenda kwenye kabati lake ambako amebandika karatasi anaandika jina la huyo mwanamke. Anaenda enda naye akija kufanya naye mapenzi basi siku hiyo atarudi room amefurahi anakuja anaweka tick mbele ya jina lile yaani tayari kamla.

Jamaa alikuwa ameandika list ya majina ya wadada hao hii tabia alifanya mwaka wa kwanza na wa pili nimekuja kusikia mwaka jana kuwa aliondoka na ngoma. alikutana na mwanadada ambaye naye ana list kama yeye. So mwanaume akam tick yule dada na dada naye akaenda kum tick kule kwenye list yake ya aliowaambukiza ngoma. ikawa wametickiana. Kumbe yule dada alikuja kufahamu kuwa yule jamaa ni kiwembe so akaamua kumshikisha umeme makusudi ili akaandike list na kuendelea kutick na magonjwa nyemelevu atakayoyapata.

Uhalifu haulipi ndugu zangu.
 
unaweza ukawa unatick katika softcopy.. yaani kimoyo moyo si katika hardcopy
Unaweza usi tick lakini ukawa na idadi kubwa kuliko aliye tick,.... Na kuwa na idadi kuwa sio issue,..... Issue kupata ngoma!
 
ni mwendo wa kutick tu, sasa kama Rais keshaamua hivyo tutafanyeje
 
sasa hata form four hujamaliza unaulizia chuo? au unataka kama una rafiki uanze kuwa unamtembelea? maana vitoto vya form four na six vimejaa humu hata havielew lugha tunazotumia sisi watu wazima.

Heri yako wewe uliyemaliza Chuo Na kupost ujinga
 
maneno ya mwerevu kwa mpumbavu huwa ni ujinga.... wenye hekima wameelewa lakini wapuuzi hudhihilisha upuuzi wao. mimi kwa hali yangu naweza post anything. nina maisha yangu safi.nimeajiriwa na pia kuajiri. nina nyumba zangu mbili na magari 3 ya maana... sijapata mke tu unaweza ukawa wewe au kama una dada mzuri nambie. so kwa hali yangu huwa hata nikiongea neno lolote kuna watu wanalichukua wanalifanyia kazi. wewe fa fa fa fa... unakuja na stress zako kwa walimwengu. shauri yako..utaja walaumu bure wakikudondoshea matone.

Heri yako wewe uliyemaliza Chuo Na kupost ujinga
 
Back
Top Bottom