Kama unamfahamu mwanaume yeyote mwenye tabia hii mwambie aache madhara yake ni makubwa sana

Nlikuwa chuo miaka ya nyuma huko naishi na jamaa mmoja mkwavi sana, yule mkambala alikuwa ana tabia za kijuvi na kibazazi hasa. Alikuwa akianza kufahamiana na mwanamke anaenda kwenye kabati lake ambako amebandika karatasi anaandika jina la huyo mwanamke. Anaenda enda naye akija kufanya naye mapenzi basi siku hiyo atarudi room amefurahi anakuja anaweka tick mbele ya jina lile yaani tayari kamla.

Jamaa alikuwa ameandika list ya majina ya wadada hao hii tabia alifanya mwaka wa kwanza na wa pili nimekuja kusikia mwaka jana kuwa aliondoka na ngoma. alikutana na mwanadada ambaye naye ana list kama yeye. So mwanaume akam tick yule dada na dada naye akaenda kum tick kule kwenye list yake ya aliowaambukiza ngoma. ikawa wametickiana. Kumbe yule dada alikuja kufahamu kuwa yule jamaa ni kiwembe so akaamua kumshikisha umeme makusudi ili akaandike list na kuendelea kutick na magonjwa nyemelevu atakayoyapata.

Uhalifu haulipi ndugu zangu.
amina mkuu
 
maneno ya mwerevu kwa mpumbavu huwa ni ujinga.... wenye hekima wameelewa lakini wapuuzi hudhihilisha upuuzi wao. mimi kwa hali yangu naweza post anything. nina maisha yangu safi.nimeajiriwa na pia kuajiri. nina nyumba zangu mbili na magari 3 ya maana... sijapata mke tu unaweza ukawa wewe au kama una dada mzuri nambie. so kwa hali yangu huwa hata nikiongea neno lolote kuna watu wanalichukua wanalifanyia kazi. wewe fa fa fa fa... unakuja na stress zako kwa walimwengu. shauri yako..utaja walaumu bure wakikudondoshea matone.

Unaendelea kudhihirisha jinsi gani ulivyo mjinga, so ukiwa na magari Na nyumba unaweza post lolote??
Bora ukae kimya tu,, uajiriwe au uajiri hiyo haizuii watu kukuchana unapoandika story za kitoto tena kutunga.
Mambo ya Facebook Peleka Facebook sio huku
 
Aah umenkumbusha ngoja nkatiki list yngu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Umaskin wako ni akili yako...

Unaendelea kudhihirisha jinsi gani ulivyo mjinga, so ukiwa na magari Na nyumba unaweza post lolote??
Bora ukae kimya tu,, uajiriwe au uajiri hiyo haizuii watu kukuchana unapoandika story za kitoto tena kutunga.
Mambo ya Facebook Peleka Facebook sio huku
 
Aaah wap mamie... Nizoee tu. Mi sina jazba nina kifua kipana sana... Sema naongea facts nyingi mpaka watu wananichukia. Ila unizoee mamaaa...kumbe nlikutisha...basi mamii... Kuwa huru tu.nambie upo wapi nije nikuombe msamaha.... Nambie mamii popote nitafika hata south africa... .... Nisamehe bure tu... Si unajua sisi mianaume ya kiafrika hatupend kuhojiwa? Upo wapi mrembo?
Nimeanza kuogopa ku comment kwenye nyuzi zako Gudume mana una mashushu si ya nchi hii na jazba juu.

Sijui kwa nini uko hivyo gudume. Nisamehe lakini.
 
Back
Top Bottom