Kama unamfahamu mwanaume yeyote mwenye tabia hii mwambie aache madhara yake ni makubwa sana

Umeongea kitu cha kweli japo kama unavyojua hii nchi ni ya wapumbavu na malofa,kwao wao muhimu ni kushabikia upuuzi lakini ukiongea ukweli namna hii waonekana kituko,kuna watu wanafanya vitu kwa kudhani wao ni wajanja au kwa kudhani wanawaumiza wengine kwa kuwatiki kumbe wanajiumiza wenyewe kwa kutikiwa,kwani kuna tatizo gani ikiwa mtu ataamua kutulia na mwanamke wake au mwanaume wake mmoja akajihakikishia usalama na mapenzi tele !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amefika salama... anaomba sana nimrudishe town. nimemwambia ngoja kwanza ninasafiri nikirudi ntamtafuta.

Siku nyingine ungemwacha mpaka amalizie alilokusudia ndo umtimue, mtoto wa watu alikuwa anakiu wewe ukamnyima maji huo sio uungwana kabisa.
 
maneno ya mwerevu kwa mpumbavu huwa ni ujinga.... wenye hekima wameelewa lakini wapuuzi hudhihilisha upuuzi wao. mimi kwa hali yangu naweza post anything. nina maisha yangu safi.nimeajiriwa na pia kuajiri. nina nyumba zangu mbili na magari 3 ya maana... sijapata mke tu unaweza ukawa wewe au kama una dada mzuri nambie. so kwa hali yangu huwa hata nikiongea neno lolote kuna watu wanalichukua wanalifanyia kazi. wewe fa fa fa fa... unakuja na stress zako kwa walimwengu. shauri yako..utaja walaumu bure wakikudondoshea matone.
magari ya MAANA magari gani hayo isije ikawa spacio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna gari inaitwa spacio? No way... Sijui... Kuna magari nayafaham ila hilo lako sijui gari au bajaji.... Au ndo tule tugar huwa natuona barabaran.... Wanaendesha mabint na vitoto vya shule? Jaman.... Yale si magari bwana ni vitoy vya kuchezea watoto..
sawa don
 
Nitumie namba yako nikuunganishe na jamaa ana umeme... Akikuunganisha atakwambia halaf nenda kapime ukahakikishe kama atakuwa anasema kweli au haujaunganishwa na grid ya taifa....

Hivi unajuaje huyu mtu nimemuambukiza ukimwi
 
Back
Top Bottom