Kama unahitaji king'amuzi bora nunua hiki

Kama unahitaji king'amuzi bora nunua hiki

under the same sun

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
160
Reaction score
37
Ving'amuzi vingi vimekuwa ni kero kwa watanzania wengi, ila wana jf jaribu kununua king'amuzi cha sansan hakika hauta jutia, ina mfumo wa hdmi port, usb port, na utapata chanel zaidi ya 40 bila malipo ya mwezi baadhi ya chanels unazopata ni km itv,eatv,emmanuel tv,star tv,tbc,chanel 10,saudia, aljazera,capital na zinginezo, jaribu kugoogle (sansan receiver) utaona kwa maelezo zaidi waweza piga namba 0686 100071 au 0656 153151 kwa maelezo zaidi
 
sansan sio mchina huyu kweli ? Nimechoka kujaza bidhaa za china jumbani yangu nyingi zikiwa hazifai kwa matumizi tena. Kama ni cha China hakifai
 
mi kwakweli hawa tcra hivi wameshindwa kabisaa ku control hii kitu? nimechoka na hivi vidude aiseee
 
Window 7 systeam ya kutumia dish inakuja kwa sasa tunatumia antena, pia ukigoogle utaona tunahusika na bidhaa mbalimbali zaidi ya hizo receiver! karibu
 
tanga mpo?mi cjielew.yaan kila steshen na kingamuz chake.tutafka kwel ivi
 
Ebu nitajie channel za mpira hasa Ligi za Uingereza, Spain, Tz, nk, mkuu huenda unaweza kunishawishi. Ila huu utawala wa JK ni wa maajabu sn, sasa nakaribia king'amuzi cha tatu. Eti naskia kuna Mnyama Tanzania anaitwa TCRA, Jameni mmewahi kuona popote hapa Tz?
 
Window 7 systeam ya kutumia dish inakuja kwa sasa tunatumia antena, pia ukigoogle utaona tunahusika na bidhaa mbalimbali zaidi ya hizo receiver! karibu

Kwa hiyo siwezi kukipeleka kijijini kwa sasa mpaka mtakapoleta dish sio?
 
Window7 Kwa hiyo siwezi kukipeleka kijijini kwa sasa mpaka mtakapoleta dish sio? kabisa mkuu labda kwa ushauri huko funga free to air dish
 
Wakati huu mfumo wa digitali unaanza kuingizwa nnchin, baadhi ya viongoz wa serikali walisema "hatutaona ule utitiri wa Antena ambao unachafua mandhari ya miji".

Nitakielewa king'amuzi (kisimbuzi) kile tu chenye kudaka mawinbi kupitia dish (satelite) tu. Hivi vya kutumia antena vinavyochagua mahali ulipo, kuelekezea antena cjui wapi, mara kwny milima sijui unatakiwa ufanyaje, I will not entertain and I would like my fellow tanzanians not to entertain them.

Challenge kubwa ya hivi visimbuzi vinavyotumia dish ni mbili tu:
Moja gharama (Ingawaje sio kubwa sana mana havipishani sana na vinavyotumia antena) na Mbili ni kwa wale wanaoishi kwenye nyumba za kupanga (hususani nyumba za kupanga zilizo na wapangaji wengi) kuwa na wakati mgumu wa kupata mahali na ruhusa ya ku-install hilo dish.

Yote kwa yote dish ndio mpango mzima, hawa wa antena wabadilike sasa. Chalenges are everywhere.

This is my opion, sorry mwenye uzi huu kama nimekuaribia biashara.
 
Back
Top Bottom