Kama unahitaji Bidhaa mpya na Used

Kama unahitaji Bidhaa mpya na Used

Teh! naona kila mtu anaulizia tv redio
Ricecooker na Blender
Haha, sasa si kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba? Au unataka uulizie zile bidhaa zilizopigwa marufuku?
 
Mkuu hiyo KKB ni nini.?
Na kama nahitaji hiyo home theater kwa Arusha inakuwaje kuupata mzigo
KKB ni aina ya home theater, hiyo ndo ya bei ndogo zipo nyingine nzuri na imara zinazotrend ni hizi
Home theater LG ina speaker mbili ndefu
inauzwa laki 5na nusu, na panasonic ina
speaker nne ndogo inauzwa laki nne na
nusu...
Na kwa Arusha mzigo utachagua utumiwe kwa njia gani, kama ndege, gari n.k
 
Ungenitumia picha mkuu! nikiupenda tufanye biashara...Kingine huo mziki DVD na flash unatumia?
Mkuu KKB ni quality ya chini though inatumia,
zipo nzuri Home theater LG ina speaker mbili ndefu
inauzwa laki 5na nusu, na panasonic ina
speaker nne ndogo inauzwa laki nne na
nusu...
Hizo zinatumia kilakitu na ziko na mfumo wa blueray...
Kuhusu picha tuma namba ya whatsapp pm
 
Mkuu KKB ni quality ya chini though inatumia,
zipo nzuri Home theater LG ina speaker mbili ndefu
inauzwa laki 5na nusu, na panasonic ina
speaker nne ndogo inauzwa laki nne na
nusu...
Hizo zinatumia kilakitu na ziko na mfumo wa blueray...
Kuhusu picha tuma namba ya whatsapp pm
Ok nimekuelewa....Kuhusu whatsapp sitatuma!
 
Nahitaji Friji na Mziki kwa matumizi ya nyumbani wastani niandae bei gani
 
Nahitaji Friji na Mziki kwa matumizi ya nyumbani wastani niandae bei gani
Mkuu bajeti ya chini andaa laki 4, bajeti ya kati andaa laki 7, N.k... Cuz inategemea na friji unalohitaji na ukubwa unaohitaji, pia imategemea na mziki unaohitaji kama ni home theater au sabwoofa
 
Ahsante Mkuu ntumie Picha kwa bajeti ya laki Nne 0715 02 71 71
 
Back
Top Bottom