Kama Unaharaka Usifungue Huu Uzi....

Kama Unaharaka Usifungue Huu Uzi....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Kwanza nina ofu za siku kadhaa hivo tangu jana habari ndo hii.

Sasa leo nimeiunganisha pamoja kama kama mnyororo.

Wale wapenda kuyarudi magoma hakuna kiingilio hapa ni muda wako tuu.



Shamukwalee ......akoobiimbaa....

Kama hauna MB basi shaka ondoa utapata GB unlimited kabisa.

Babaa Koffi Unanihojoresha mie ujue......

Kasie Matata Kwishney Mahaba yote kwa Koffi...
 
Umenikumbusha Ngoma ya Koffi sikuzile ilikwenda kwa jina la "Amufilla mu-yaya"

Hiyo ngoma ilitoka niko Std 6, naikumbuka sana.

Kwenye Umitashumita kipengele cha michezo ya ndani mimi nilikuwa kwenye igizo, liliitwa ukimsomesha mtoto wa kike umesomesha jamii.

Kwa hiyo mimi nilikuwa mfano wa mtoto wa kiume aliyesomeshwa na alikuwa anashinda disco tu, na wimbo huo ndo DJ alikuwa anaucheza sana tukiwa disco.

Back then.
 
Nendelea.....



Shamukwaleee....

Chivunduuuu....somoooo.....

yeeyooooo ndombolooooo......

Hhahahahahahhaa mauno sasaa... huku nahangaika na tumbo huku nahangaika na bambataaa aahahahahahhaaa

Basi ili mradi tuu nalisakata kabumbu bolingo bila kulionea huruma wala aibu.... ndombooloooo

Angalizo kwa wenye haraka, mtachelewa mnakokwenda heheheheee

Kasie Matata.
 
Umenikumbusha Ngoma ya Koffi sikuzile ilikwenda kwa jina la "Amufilla mu-yaya"

Amufilla Muhayaa eehe eeeh.....

Hhahahahahahahaaaaa, umenikumbusha jinsi nyimbo za zamani zilivokuwa zinatafutiwa maneno ya kiswahili na zinaimbika kama kawaida....

Kuna huu, ''mayai ya kuku na bata nayala, iyee mayai ya kuku na bata nayala
Ukichanganya na soda na chai vinanogaa...
Alisukuma dagala salamaleko a dagala adagala alaa akalalaaa...

Mnawisheee, mnawishee, mtoto akinya mnawishee mnawishee manwisheeee

Yeeyooooo, atuukuutuumaa maa tukutuku maa seeluumbaa.....'' Baabaa Boziana.
 
Hiyo ngoma ilitoka niko Std 6, naikumbuka sana.

Kwenye Umitashumita kipengele cha michezo ya ndani mimi nilikuwa kwenye igizo, liliitwa ukimsomesha mtoto wa kike umesomesha jamii.

Kwa hiyo mimi nilikuwa mfano wa mtoto wa kiume aliyesomeshwa na alikuwa anashinda disco tu, na wimbo huo ndo DJ alikuwa anaucheza sana tukiwa disco.

Back then.

Umekumbuka mbali eeehhh....

Safi mie naendelea kuyarudi, mwenye nafasi yake nae anakariboshwa kuyasakata mayenu.

Kiuno kikigoma, unapinda mgongo, nao ukigoma unakunja magoti, vyote vikikataa unakumbatia tumbo hahahahaaa.

Kasie Matata.
 
Amufilla Muhayaa eehe eeeh.....

Hhahahahahahahaaaaa, umenikumbusha jinsi nyimbo za zamani zilivokuwa zinatafutiwa maneno ya kiswahili na zinaimbika kama kawaida....

Kuna huu, ''mayai ya kuku na bata nayala, iyee mayai ya kuku na bata nayala
Ukichanganya na soda na chai vinanogaa...
Alisukuma dagala salamaleko a dagala adagala alaa akalalaaa...

Mnawisheee, mnawishee, mtoto akinya mnawishee mnawishee manwisheeee

Yeeyooooo, atuukuutuumaa maa tukutuku maa seeluumbaa.....'' Baabaa Boziana.
Hapo umekimbusha siku za akina Arluse Mabele, Ngoma Lokito na akina Awilo Longamba kabla haja hamia upende mwingine.
Ilikua raha sana sikuzile
 

Poleeee....

Ndomboloooo, ndombolaa ndomboloo

Ndombolo ya kula mayenueeee..... alasteeee

Alee aleee aleeleeleelee mama mukurukuru oohh...

Hhahahahahahhaaaa.
 
Hapo umekimbusha siku za akina Arluse Mabele, Ngoma Lokito na akina Awilo Longamba kabla haja hamia upende mwingine.
Ilikua raha sana sikuzile

Basi endelea kuburudika kwa nafasi yakoo,

Kama nakuona unatikisa kisigino na magoti ahahahahhaaaa.
 
Naendelea....



Koffi I Love You....

Unanivuruga Kasie Mwenzio....

Yokobinda Nseleee.....

Kasie Madata Matata.
 
Kwaraha zangu zote.....
Ni raha kwenye Dunia wallah

Haya babaa burudiko jemaa, usimsahau tuu kimwana wako ukashikilia wa jirani yako, halahala ngumi na uso heheheheee.
 
Poleeee....

Ndomboloooo, ndombolaa ndomboloo

Ndombolo ya kula mayenueeee..... alasteeee

Alee aleee aleeleeleelee mama mukurukuru oohh...

Hhahahahahahhaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom