Kama unadhani shule ngumu haya...subiri

Kama unadhani shule ngumu haya...subiri

Najua, ila mume dizaini hii akija, ananioa bila wasi
Utamtia presha bure huyo mume.....akija wa Vitz tu unasaliti ndoa... hakuna dem asiependa mambo mazuri wewe yaani kwanza kama wewe ukimkuta mmeo anapiga jiwe hivyo unajifanya hata humuoni na umekula kishoka kwenye Vitz ya msela mwingine unapita hapohapo...halafu ikifika jioni wote mmechoka..mme na kazi,we na kukamuliwa..LOL
 
Mwanaume mateso kuhangaika wewe, unadhani mtu kama huyo pesa yake italiwa kihalali?


Nahisi kwa matawi yako huwezi ona wanavyozitumia hizi hela wanazopata. Jitoe akili utembelee vile vibanda vya zile "Pombe" zetu za kumimina, utarudi humu utuambie wanavyotumia!!
 
Back
Top Bottom