Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,246
- 5,757
Aisee habari.
Nasema hivi; Kama unajiona wewe ni bora kuliko binadamu wenzako acha haraka sana.
Sisi wote tunaishi ili Tufe na usithubutu kumtamkia mwenza" eti utakufa" acheni uzembe.