Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Ccm oyeeeeeee
FB_IMG_16041785531212501.jpg
 
Siku moja mama mwenye nyumba aliuliza ,ninani anaye maliza tooth pick?
Mfanyakazi akajibu labda wanao maana mimi nikitumia naludishia "unadhani nini kilitokea"?
 
Nimetoka kununua maembe sokoni kwa kuwa nlikuwa sina chombo cha kubebea muuzaji kaniwekea kwenye box, ndipo safari ikaanza. Nilipopita karibu na kituo cha Police ghafla nikasimamishwa tena kwa sauti kubwa "wewe simamaaaaa pumbavu" nikatii sheria ile naulizwa umebeba nn, kabla sijajibu nikapewa kofi moja takatifu, ndo nikaambiwa haya jibu sasa nikawaambia maembe nikapulizwa kofi tena. Baada ya wale Police kulifungua lile box wakakuta kweli ni maembe, kumbe yule muuzaji aliniwekea maembe kwenye box lililoandikwa "KIROBA ORIGINAL". ndugu zangu saivi mwe makini na mabox mnayobebea mizigo yenu
hahahaaa you made my day bruh
 
Lahaula lakwata,
ndio imetiki sasa,
mko kwenye point of no return (ushachukua room, unamsalula Diwali) , unagundua ni Mama Mzaa Mkeo, unafanyaje Muzee?
na mm navaa barakoa mpaka machoni asigundue kuwa nimemjua maana kanitegea
au nazima taa naanza hivyo hivyo km kichaa mpaka atapenda
lkn kumuacha ni kujitakia mapresha na kuona wanawake wote wabaya wanabania
 
Back
Top Bottom