Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hivi rubani hayupo katika kundi la WATU maana sijasikia akitajwa wakati orodha ya waliokuwa ndani ya ndege ikitolewa
 
Haka kahali ya hewa kasiku hizi kana faa sana kwa kilimo cha watoto asee!Hasa nikikumbuka kale kausemi ka "fyatueni tu nitasomesha"napata ujasiri wa kutosha ila msiniige hizi ni akili za baada ya kuvimbiwa pilau ya jirani mama fau na gambe mbili tatu kwa mangi ofa kutoka kwa side boy.Yanini kujitaabisha wakati kwa jirani kunalika?
 
unautani na wasukuma wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…