Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

@beberumwitu hujui january ina siku 45 eeeh!Msaidie nduguyo.Mi nauza dawa ya kunguni wa majaribio wapo tunawa mwaga ndani kwako halafu tunapuliza dawa dadeki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukute na wewe ulikuwa unagonga mzigo mpaka majirani wakakosa usingizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah,imenikumbusha miaka ya 2000 nilikuwa kisiwa kimoja huko lake Victoria kinaitwa Bulongero sasa kule usiku wanatumia majenereta kufua umeme so wanatumia zile bulb za mwanga mdogo,so kinywaji kimekolea kikaingia kidemu fulani plus na mwanga hafifu kilikuwa kinawaka mie nikavuta mzigo muda si mrefu tukazama gesti yenyewe ya mabanzi mwanga ni uleule nikapiga mashine
Asubuhi kumcheki demu ni kituko kwanza alikuwa na lile goitre la shingoni utadhani ndege joni/marbhour stock,mezani naona bukta 3,plus tight 2 na chupi na juu kapiga jeans. Means tako lilikuwa linalingana kichwa cha mtoto,pozi lote liliisha.Halafu ndo linakomaa kuniita dear dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh, hatarrr sana hii kityuz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…