Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

FB_IMG_1546888456844.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@beberumwitu hujui january ina siku 45 eeeh!Msaidie nduguyo.Mi nauza dawa ya kunguni wa majaribio wapo tunawa mwaga ndani kwako halafu tunapuliza dawa dadeki
January ngumu sana, kuna jamaa anauza paka, sasa ananilazimisha nimnunue, nimemwambia kwangu hakuna panya. Basi ameniambia panya atawaleta jioni

Sent using Sattelite c1175b

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukute na wewe ulikuwa unagonga mzigo mpaka majirani wakakosa usingizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah,imenikumbusha miaka ya 2000 nilikuwa kisiwa kimoja huko lake Victoria kinaitwa Bulongero sasa kule usiku wanatumia majenereta kufua umeme so wanatumia zile bulb za mwanga mdogo,so kinywaji kimekolea kikaingia kidemu fulani plus na mwanga hafifu kilikuwa kinawaka mie nikavuta mzigo muda si mrefu tukazama gesti yenyewe ya mabanzi mwanga ni uleule nikapiga mashine
Asubuhi kumcheki demu ni kituko kwanza alikuwa na lile goitre la shingoni utadhani ndege joni/marbhour stock,mezani naona bukta 3,plus tight 2 na chupi na juu kapiga jeans. Means tako lilikuwa linalingana kichwa cha mtoto,pozi lote liliisha.Halafu ndo linakomaa kuniita dear dear

Duuuh, hatarrr sana hii kityuz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
317 Reactions
Reply
Back
Top Bottom