ushindwe kulea toto lako vizur useme likaharibike shule za serikali sisi tumesoma huko mbona hatujaharibika?
lqbda ushauri kwa elimu bora na yaushindani kimataifa mpeleke mtoto shule za private tena zile zenye viwango ila swala la maadili tabia na mfumo wa maisha llni kuanzia nyumbani.
ukishindwa kufundisha hilo ustarajie hata seminari wanaweza maana huko seminari tunaskia kesi kibao wanafunzi wanaiba hadi mifugo
Mm nina mfano wa mtoto mmoja wakiume wa miaka 9 alikua akisoma hizo shule za private ...badae mamaake aligundua alikua akigeuzwa nyuma yaan alishaharibika na hapo uyo mtoto alikua la 5....anaenda na school bus na kurudi nalo....sometimes tunatakiwa kuwaombea watoto wetu na turudi kwenye utamaduni wakukagua watoto wetu nakuongea nao.....
Shame,shame yani wewe ni wale lumbukeni,shule za serikali ndo shule nzuri kwa taarifa yako,yani umekurupuka kuandika usichokijua ili uonekane nawe una uzi,fimbo inamnyoosha mtoto anakuwa na tabia nzuri,nakumbuka kipindi nasoma shule ya sanawari arusha kuna mwalimu aliitwa mdee na mwalimu mollel yani hawa walimu wanachapa sijawahi ona,kipindi kile ukichelewa kushika namba unachapwa fimbo za mkono mpaka unakufa gazi,nawashukuru sana hao walimu maana wamenifanya niwe ngangari,fimbo imeandikwa kwenye biblia mtoto lazima achapwe ili ajue kuwa akikosea atachapwa tena,watoto wanaosoma hizo shule za mabus asilimia kubwa wengi wao huwa wanaharibikiwa sana,fimbo zinatakiwa zisiondolewe shuleni