CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 646
Yaaaah cha muhimu ni kuingia na uone nini kinaendelea humo ndani. Ni ukweli usiofichika kuwa mleta uzi hawezi kutoa details zote ndogo ndogo hapa. Anachofanya ni kukupa hints za maana ili na wewe ujiongeze aidha kwa kwenda field au site au kwa kufanya utafiti wako binafsi ili ujue wapi pa kuanzia. Ila hints ni safi sana.Kila biashara ni nzuri kwa kusimuliwa fanya sasa uone mziki wake. Kila la kheri kwa watakao ingia.