Kama una mtaji njoo tufanye biashara

Kama una mtaji njoo tufanye biashara

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,284
Reaction score
4,652
1. Mwenye mtaji aje eneo ekari 1.3 ninalo lina jengo la storage, kisima cha maji, umeme three phase na majengo mengine mawili. Nimefunga pia mashine ya kusaga na kukoboa mahindi na nafaka kama ngano etc. mwenye interest karibu. Mahali ni Makabe Mbezi Louis.

2. Mwenye idea na biashara ya kusaga chupa za plastic ndani ya eneo hapo juu upande mmoja nimejenga jengo linalokidhi kuweka mashine na kufanya shughuli hizo.

Binafsi mtaji umepungua na nina ratiba ngumu kidogo kwani ni mwajiriwa, kusimamia kama kuna alie tayari karibu inbox.

Njooni tufanye kazi.
 
Hongera sana sana! Naomba nikushauri jambo, hakikisha mnaweka kwenye maandishi partnership yenu.
 
Nina uzoefu na biashara ya chupa za plastic nichek 0625614751
 
1. Mwenye mtaji aje eneo ekari 1.3 ninalo lina jengo la storage, kisima cha maji, umeme three phase na majengo mengine mawili. Nimefunga pia mashine ya kusaga na kukoboa mahindi na nafaka kama ngano etc. mwenye interest karibu. Mahali ni Makabe Mbezi Louis.

2. Mwenye idea na biashara ya kusaga chupa za plastic ndani ya eneo hapo juu upande mmoja nimejenga jengo linalokidhi kuweka mashine na kufanya shughuli hizo.

Binafsi mtaji umepungua na nina ratiba ngumu kidogo kwani ni mwajiriwa, kusimamia kama kuna alie tayari karibu inbox.

Njooni tufanye kazi.
Hongera sana kiongozi, naomba ruksa ya kuja kujifunza jambo hapo mkuu.
 
1. Mwenye mtaji aje eneo ekari 1.3 ninalo lina jengo la storage, kisima cha maji, umeme three phase na majengo mengine mawili. Nimefunga pia mashine ya kusaga na kukoboa mahindi na nafaka kama ngano etc. mwenye interest karibu. Mahali ni Makabe Mbezi Louis.

2. Mwenye idea na biashara ya kusaga chupa za plastic ndani ya eneo hapo juu upande mmoja nimejenga jengo linalokidhi kuweka mashine na kufanya shughuli hizo.

Binafsi mtaji umepungua na nina ratiba ngumu kidogo kwani ni mwajiriwa, kusimamia kama kuna alie tayari karibu inbox.

Njooni tufanye kazi.
Biashara kichaa hizi
 
Back
Top Bottom