Hebu kutana na huyu mwanamke mke wa mtu lakini alikuwa na mpenzi daktari.
Jamaa alikuwa anaumwa sana mkewe akamwita daktari, daktari alipofika akamkuta jamaa kafumba macho;
Dokta: Huyu mbona amekwisha kufa
Jamaa: Sijafa bwana
Mke: Hebu nyamaza bwana acha kubishana na wataalamu