Kama una hofu ya Mungu pitia hapa

Kama una hofu ya Mungu pitia hapa

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,751
Reaction score
5,623
HAYA MAISHA!
Siku ya kwanza nilipo ingia mochwari (mortuary), nilichokiona Ni ngumu mno kueleza. Kwanza niliona maneno yameandikwa (TULIKUWA KAMA WEWE) na kuelekea mlango wa kutokea niliona maneno yameandikwa (HIVI KARIBUNI UTAUNGANA NASI).

Mh..! Kwa hakika niliogopa Sana kuona miili ya watu ikiwa imelazwa katika sakafu pasipo kufunikwa kitu. Kulikuwa na maiti zaidi ya hamsini mingine imelazwa katika vitoroli (Jerry cans), mingine katika meza za kuoshea maiti, mingine ndani ya majokofu. Kulikuwa na miili ya watu wa jinsia zote.

Tukasonga ndani zaidi kuelekea mahali ulipo hifadhiwa mwili wa ndugu yangu. Tulipoufikia mhudumu wa mortuary alifunua na ulikuwa haujavishwa nguo na umelazwa juu ya ubao.

Nilimuangalia Sana marehemu ndugu yangu akiwa amelala pale utupu, hakuweza hata kufunika utupu wake kwa mikono yake, Wala kupinga chochote kile. Nikajiuliza Sana NINI MAANA YA MAISHA.?

Kwanini tunatumia nguvu nyingi kutaka kumiliki kila kitu katika dunia hii na wakati mwingine hata kwa kuwaumiza wengine?

Kwanini tunakiburi, majivuno na ubinafsi Kama tunaimiliki dunia na pumzi ya uhai wetu?

Kwanini hatuwezi hata kuwasamehe watu wanaotukosea huku tukijihesabia haki kana kwamba Ni malaika?

Kwanini hatuwezi hata kumkumbuka Muumba wa Mbingu na nchi tunapokuwa hai?

Niliona matajiri waliokuwa na majumba, waliokuwa na degree na PhD, waliokuwa na magari ya kifahari, waliokuwa viongozi majasiri na mashupavu, matajiri na masikini, wanawake wazuri wenye mitindo mbalimbali ya nywele wote wakiwa wamelazwa humo ndani kimyaa kabisa.

Nikajisemea moyoni kumbe maisha sio kitu na niyamuda tu, cheo Ni Cha muda, utajiri na heshima vyote Ni vya muda tu. Sijui lini nitaondoka katika dunia hii lakini niliona vile nitakavyokuwa siku pumzi yangu itakapoondolewa.

Ninatamani na kutaka kuwa Bora zaidi ya Jana yangu katika unyenyekevu,kusamehe,kupenda na kujali wengine, kumuabudu Mungu na kumtumikia. Kwa kuwa maisha niliyonayo Ni ya muda na tena kifo hakitazami status ya mtu.

GOD ABOVE ALL
 
Uliwaona matajiri, wenye PhD nk. Ina maana kila marehemu alibandikiwa net worth na CV yake katika paji la uso ama niaje?
 
Tumezaliwa siku moja na tutakufa siku moja..hili wala halina ubishi..na ndio maana kila siku tuna waambia mkitafuta maisha msisahau kuishi!

"One day your life will flash before your eyes, Make sure its worth watching" - Gerald way.
 
Kama Mungu asingetupa uwezo wa kusahau mambo hakika wengi tungekuwa wachaMungu na tusingekuwa busy na dunia. Ila inatokea unaona ikipita wiki unasahau na unaendelea na mapambano ya dunia I think it is nature.

Siku ya kwanza nashuhudia mtu anakufa nilienda kukaa pembeni nililia sana ila baada ya series kuwa ndefu now ni kumuombea tu aliyekufa then naendelea na maisha.
 
kufa tutakufa wote tu hakuna escape ila hii isikuzuie

Kutafuta pesa
kuenjoy maisha
kusaidia wengine
kuwa na mipaka yako
ukipata kila kitu isikufanye

uwe na kiburi
mlafi haujali mwenye shida
kumsahau mungu
watu hawajui
kumuabudu Mungu si kwenda nyumba za ibada kila siku nooh bali ni kuwa na moyo safi ibada yako iwe ni kutenda kila kianacho mpendeza mungu

kusaidia bila kupata faida
kuwa na moyo wa kiasi
n
k
 
HAYA MAISHA!
Siku ya kwanza nilipo ingia mochwari (mortuary), nilichokiona Ni ngumu mno kueleza. Kwanza niliona maneno yameandikwa (TULIKUWA KAMA WEWE) na kuelekea mlango wa kutokea niliona maneno yameandikwa (HIVI KARIBUNI UTAUNGANA NASI).

Mh..! Kwa hakika niliogopa Sana kuona miili ya watu ikiwa imelazwa katika sakafu pasipo kufunikwa kitu. Kulikuwa na maiti zaidi ya hamsini mingine imelazwa katika vitoroli (Jerry cans), mingine katika meza za kuoshea maiti, mingine ndani ya majokofu. Kulikuwa na miili ya watu wa jinsia zote.

Tukasonga ndani zaidi kuelekea mahali ulipo hifadhiwa mwili wa ndugu yangu. Tulipoufikia mhudumu wa mortuary alifunua na ulikuwa haujavishwa nguo na umelazwa juu ya ubao.

Nilimuangalia Sana marehemu ndugu yangu akiwa amelala pale utupu, hakuweza hata kufunika utupu wake kwa mikono yake, Wala kupinga chochote kile. Nikajiuliza Sana NINI MAANA YA MAISHA.?

Kwanini tunatumia nguvu nyingi kutaka kumiliki kila kitu katika dunia hii na wakati mwingine hata kwa kuwaumiza wengine?

Kwanini tunakiburi, majivuno na ubinafsi Kama tunaimiliki dunia na pumzi ya uhai wetu?

Kwanini hatuwezi hata kuwasamehe watu wanaotukosea huku tukijihesabia haki kana kwamba Ni malaika?

Kwanini hatuwezi hata kumkumbuka Muumba wa Mbingu na nchi tunapokuwa hai?

Niliona matajiri waliokuwa na majumba, waliokuwa na degree na PhD, waliokuwa na magari ya kifahari, waliokuwa viongozi majasiri na mashupavu, matajiri na masikini, wanawake wazuri wenye mitindo mbalimbali ya nywele wote wakiwa wamelazwa humo ndani kimyaa kabisa.

Nikajisemea moyoni kumbe maisha sio kitu na niyamuda tu, cheo Ni Cha muda, utajiri na heshima vyote Ni vya muda tu. Sijui lini nitaondoka katika dunia hii lakini niliona vile nitakavyokuwa siku pumzi yangu itakapoondolewa.

Ninatamani na kutaka kuwa Bora zaidi ya Jana yangu katika unyenyekevu,kusamehe,kupenda na kujali wengine, kumuabudu Mungu na kumtumikia. Kwa kuwa maisha niliyonayo Ni ya muda na tena kifo hakitazami status ya mtu.

GOD ABOVE ALL
siku ya mwisho unaoshwa na mtu ambaye hata hukua unampa salam..
 
Funzo kubwa, binadamu tuna kiburi Cha uzima, MUNGU atusamehe, nimeanza kuyadharau maisha ya Binadamu soon baada ya magu kukatika ghafla licha ya CCM kutuaminisha Lowasa hatakaa madarakani ,atakufa lakini ajabu ya MUNGU Lowasa is still available, na yule tuliyeaminishwa mzima Sana katutoka pale kwa Mzena hospital!
 
Aloo
 
Kuna kitu unaweza kwepa lakini sio Kifo. Why unajiumiza kuwaza jambo ambalo unauhakika utalipata uoni unakufa mara nyingi ndani yako? Calm down acha nature ifanye kazi yake hautakua wakwanza kufa na hakuna ajabu kwenye kufa Kila mtu atakufa, usijipanikishe relax.
 
Back
Top Bottom