Kama una haraka usisafiri na basi la mwendokasi mchana

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Hakika, kama una haraka usithubutu kutumia mabasi ya mwendo kasi mchana hapa DSM, yaani kituoni utakaa hata zaidi ya nusu saa halijapita. Sasa sijui mchana yanajificha wapi!!?
 
Wana Kula ubwawa sahizi..si unajua tena
Basi ni vema wakatangaza kuwa mchana basi ni chache. Sababu wanakula. Maana mtu umeingia kituoni na kulipa hela yao lakini mabasi hayaonekani. Ni utapeli huu.
 
Back
Top Bottom