DAWA YA SIKIO
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 978
- 184
Ukiona mke wako hajui matusi, mfundishe kuendesha gari kisha mruhusu aende mjini.Akirudi atakuwa na furushi la matusi ; hii ina maana MADEREVA walio wengi wanaongoza kwa matusi.
Wachungaji
ofkoz wachungaji wa mbuzi wana mitusi sana kwa jinsi mbuzi wanavyosumbuammmh wachungaji tena siamin
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !
mmmh wachungaji tena siamin
Ukiona mke wako hajui matusi, mfundishe kuendesha gari kisha mruhusu aende mjini.Akirudi atakuwa na furushi la matusi ; hii ina maana MADEREVA walio wengi wanaongoza kwa matusi.
Wachungaji
wanafunzi,watoto wa mitaani