Unapataje Channel ya You Tube kwanza..!!?? Ungeanza na hilo ili endapo wengi watafanikiwa kufungua, sapoti itakuwa kubwa kwa sababu wengi watakuwa na channel huko.
Maoni ya kukatisha tamaa ndo changamoto zenyewe, so usiyakatae. Kuwa na ngozi ngumu kijana. Unaposema SITAKI, wakati kila mtu yupo kwake na simu au laptop yake, anaandika anachotaka na huna lolote la kumfanya sijajua unamaanisha nn..!!