Nawasalimia wadau wa JF.
Kuna baadhi ya vyama vya siasa hapa nchini kwetu, mwenyekiti ni kama mfalme. Tangu aingie madarakani hana mpango wa kupisha wengine waweze kuongoza chama.
Na kuna vyama tangu vijulikane katibu mkuu wake ni yule yule tu. Miongo zaidi ya miwili bado yupo kwenye kiti hicho, huku akidai kugombea kuongoza nchi.
Kama kiongozi huyo ameshindwa kuleta demokrasia ndani ya chama chake je, ni halali kumwamini kiongozi huyo na chama chake?
Viongozi hao wameonekana wakijaribu na kuweza kuwafumba midomo wengine wenye nia ya kugombea kiasa cha kuwaita wasaliti na kuwaundia zengwe zito na wanabaki kuwa makabwela.
Zengwe zito linaloleta ukabwela linafanya wenye kung'amua mambo na kuwaona hao watu kama hawajajiandaa au wanataka kuwa wafalme ndani ya chama.
Ni vyema kutoa boliti kwenye jicho kabla ya kukatoa ka kibanzi kwenye jicho la wengine.
Je, mwenyekiti anaye kaa kwenye uongozi zaidi ya miongo miwili yupo tofauti na mfalme wa chama?Kuna chama hata kishindwe uchaguzi kwa kura kinalazimisha kwa nguvu kubaki madarakani kwa madai kuwa vyama vingine vikiongoza kutatokea vurugu na kutumia vyombo vya dola kupora ushindi kwa mabavu
Je, mwenyekiti anaye kaa kwenye uongozi zaidi ya miongo miwili yupo tofauti na mfalme wa chama?
Swali dogo tu. Unataka kufananisha mtu mmoja na chama kilichoshinda kwa kupigiwa kura na jamaa mmoja ambaye hataki hata wanachama kupiga kura?
Swali dogo tu. Unataka kufananisha mtu mmoja na chama kilichoshinda kwa kupigiwa kura na jamaa mmoja ambaye hataki hata wanachama kupiga kura?
Umeongea la maana sana Mkuu. Kuna watu wanawaongopea wananchi eti wanataka kuleta ukombozi, huu ni uongo kabisa, kwani wao wanachogombea ni madaraka na siyo ukombozi.Ukitumia akili yako vyema....na kujitoa kwenye koti la mahaba....unagundua kuwa katika nchi hii...hakuna wapinzani ambao tunawatazamia kutuletea neema...bali ni magenge ya wapiga dili...wanaolilia fursa ya kuiba rasilimali za umma kupitia uongozi......
CCM kumeoza na huko Upinzani ndio kunatoa funza kabisa......
Kweli tupu.Na hiyo ndio sababu inayofanya CCM iendelee kuwa madarakani.Upinzani dhaifu.kila mtu anajua kuwa CCM haifai,lakini sasa unajiuliza,is there a better alternative?.vyama vyetu vimekaa kibiashara zaidi na sio katika mfumo wa kiharakati wenye lengo la kumkomboa mwananchi.Vyama vingi vimekuwa na harakati za kimatukio tu na kujali zaidi mambo ya kuwapa kiki kisiasa na sio kudili na matatizo ya wananchi.Ukitumia akili yako vyema....na kujitoa kwenye koti la mahaba....unagundua kuwa katika nchi hii...hakuna wapinzani ambao tunawatazamia kutuletea neema...bali ni magenge ya wapiga dili...wanaolilia fursa ya kuiba rasilimali za umma kupitia uongozi......
CCM kumeoza na huko Upinzani ndio kunatoa funza kabisa......
wordUkitumia akili yako vyema....na kujitoa kwenye koti la mahaba....unagundua kuwa katika nchi hii...hakuna wapinzani ambao tunawatazamia kutuletea neema...bali ni magenge ya wapiga dili...wanaolilia fursa ya kuiba rasilimali za umma kupitia uongozi......
CCM kumeoza na huko Upinzani ndio kunatoa funza kabisa......
Aaah hii tabia ni mbaya sana...sasa wewe kuwaita wenzio wapinzani na kujitoa wewe wakati na wewe unawapinga hao ...JitambueHuwa nashangazwa sana na watu wanaojiita wapinzani wa nchi hii.....wanaojitanabaisha kuwa ni watetezi wa demokrasia...ili hali mioyoni mwao wanajijua kuwa ni maadui wa demokrasia.....
Wanapigania uhuru wa kutoa maoni na kujieleza hali ya kuwa wao wenyewe hawaheshimu wala si wavumilivu wa maoni ya wengine.....
Utawagundua hata humu...kupitia matusi yao kwa watu walio na mtazamo tofauti na wa kwao.....