Kama umedisco unaweza kurudia mwaka

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,349
Kijana wa shost wangu amedisco mwaka wa pili hana credits za kuendelea mwaka wa tatu anaweza kurudia mwaka wa pili?
 
Chuo hapo hakuna tena haina kurudia ila ngoja wahenga waje wataweka bayana
 
kudisco maanake umeshindwaa kufikia vigezo vya kuendele na masomo.
carry ni kurudia mwaka
 
Kijana wa shost wangu amedisco mwaka wa pili hana credits za kuendelea mwaka wa tatu anaweza kurudia mwaka wa pili?
As Usual.... Kijana wa Shost wangu...... Duuuu Samahani Kama nitakukwaza Umewahi Kufika Chuoni.. Katika Darasa leunu kuna mtu ambaye ameshawahi Kukumbwa na hili suala. Je Alikuwa analitatuwaje.. Naamini wewe ni Matured na naamini Pia elimu yako ni ya level ya Chuo. Vitu vingine tunaweza kuvipambanua kupitia
 
Tujadili mada mkuu
 
Mtu aki Disco Course husika haruhusiwi Kurudia Mwaka Course hiyo hiyo bali anaweza kudahiliwa Upya Chuo Kingine kwa Course Tofauti.
Labda kama imeshabadirishwa ila Huo ndiyo Ufahamu wangu
Asante mkuu wamempa option ya kurudi in two years kuanza mwaka aliofeli
 
Mwaka wa kwanza alifaulu vizuri sana ndiyo anataka kuomba kurudia kwa credits za mwaka wa kwanza
hakuna kitu kama Hicho huo Ufaulu wake wa Mwaka wa Kwanza una walakini ... Mtu Kama kweli Ulifanya Vizuri First Year Lazima umantain Consistency ukizingatia ni masomo yale yale ambayo yanabadirika kitopic tu.

Mpaka kufikia kudisco umefail kwa kiwango kikubwa siyo chini ya Msomo zaidi ya matano kwenye course yako
 
Asante mkuu wamempa option ya kurudi in two years kuanza mwaka aliofeli
Yes kwa Course hiyo hoyo unaruhusiwa kurudia baada ya kutokuwepo kwenye udahili wa Chuo hicho Miaka Miwili Mbele. i.e ulidisco 2014 unaruhuswaaa kudahiliwa 2016. Sasa wengi huwa inawashinda wanachofanya wanabadilisha Chuo na kuanza Upya.
 
Chuo gani anasoma mkuu?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…